Subscribe:

Saturday, 26 March 2016

Mkutano wa wanataaluma {ATAPE}  unaendelea jijini MBEYA na Wimbo mkuu - "Piga panda na ya makelele Yesu yuaja tena"
Ndivyo mambo yalivyokuwa hivi Ibada ikiendelea.

                          Kwaya ya Waadventista wasabato ya MBEYA mjini wakiimba.

                                    Wana Taaluma wakiwa kwenye Ibada takatifu.

MAKAMU WA KIONGOZI MKUU WA KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO DUNIANI AWASILI JIJINI MBEYA:
Makamu wa Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato Duniani Mchungaji Geofrey Gabriel Mbwana (wapili toka kulia) yuko jijini Mbeya akiwa ni Mgeni rasmi kwenye Mkutano Mkuu wa Chama cha Wanataaluma na Wajasiriamali Waadventista nchini Tanzania (ATAPE) ulioanza leo ambao unafanyika kwenye Ukumbi wa Benjamini Mkapa jijini humo.

Wednesday, 23 March 2016

 HISTORIA YA MAREHEMU JOSHUA KAJULA:
 
                           MAREHEMU MCH JOSHUA KAJULA

KUZALIWA KWAKE
Mchungaji Joshua Kamenya Kajula alizaliwa tarehe 28 Disemba 1939; huko Maeneo ya Majengo wilaya ya Mbeya Mjini katika Mkoa wa Mbeya. Yeye ni mtoto wa Pili kuzaliwa kati ya watano kwa mama yake. Baba yake alikuwa na wake wawili.Kwa  upande  wa  mama  yake  ambaye  ndiye  alikuwa  mke  wa ndoa kwa baba walizaliwa wanaume watano. Alikuwa na ndugu  wengine wawili waliozaliwa na baba yake kwa mke mwingine  ambaye  alirithiwa  na  baba  yake  baada  ya  kufiwa na  kaka  yake.  Hivyo,  kwa  ujumla  anatoka  katika  familia  ya  watoto saba kwa baba na kwa mama watano.

ELIMU YAKE
Marehemu mchungaji Kajula alipata elimu yake ya awali katika Shule ya kati (Middle School) huko Iganzo. Alisoma hapo mpaka darasa la sita mwaka 1955.Hatimaye alipelekwa Suji Upper Primary darasa la Saba na la Nane.Aliendelea na masomo yake
katika kiwango cha darasa la tisa na la kumi (Standard  9  and  10).   
Ni  sawa  na  kusema  form  two  kwa  lugha  ya  leo.  Hatimaye 
alijiunga  na  chuo  cha  Ualimu  huko  Ikizu,  mkoani Mara.Alisoma
Diploma ya ualimu kwa miaka miwili hatimaye kwenda kuajiriwa mwaka 1962. Wakati huo aliamua kujiendeleza  na  elimu  ya  kidato  cha  nne  bado  akiwa  kazini  kwa kusoma kwa njia ya binafsi (private).Alifanya kazi kuanzia mwaka 1962 kwa miaka miwili hatimaye akaenda  kuchukua  kozi  ya  miaka  miwili  ya  Elimu  ya  Afya  (Health Education) huko Hospitali ya Heri, mkoani Kigoma.Huo ulikuwa ni mwaka 1964 hadi 1966.Hatimaye  ndipo  alipoenda  kuchukua  mafunzo  ya  kichungaji  mwaka 1967 hadi 1968 huko Bugema, Uganda. Alipata diploma ya uchungaji.Safari yake ya elimu iliendelea mwaka 1985 hadi 1988 alipenda  India  katika  chuo  cha  Poona  Spicer  Memorial  College  kwa  masomo  ya  digrii  yake  ya  kwanza.  Na  akahamia  huko  Ufilipino kwa masomo yake ya digrii ya pili. Alianza mwaka 1989 hadi 1991. Na kurejea Nyumbani.

KUAMINI KWAKE
 Marehemu mchungaji alipata imani kupitia kwa mzungu mmoja aliyekuja
kufanya kazi huko Misheni ya Iganzo. Mchungaji Kajula alikuwa akifanya
kazi kwake ya house boy. Ndipo  akawa  mtu  wa  kwanza  kupata  imani
 katika  familia  yao.Tunaweza  kusema  kuamini  kwake  ndio  chanzo  na  mlango  wa  kuwafanya  ndugu  zake  wote  watano  kujiunga  na  kanisa  hili la Waadventista WaSabato. Hatimaye mama yake alikuja kuamini baadaye kabisa. Mchungaji Joshua Kajula alibatizwa mwaka  1952.  Mchungaji  aliyembatiza  ni  Mchungaji  Jacques aliyekuwa mmishonari huko Mbeya.MAISHA YA NDOA Marehemu mchungaji Joshua Kajula alifunga pingu za maisha tarehe 12 Septemba 1964 na Merry Justine Kimera (ni mtoto wa mchungaji Justine Salimu Kimera). Ndoa hii ilifungwa na Mchungaji Rufoko aliyekuwa ni mwenyeji wa Rwanda huko Heri Hospital ambako mchungaji Kajula alikwenda kuchukua masomo ya elimu ya afya. Mungu  ameibariki  familia  hii  kuwa  na  watoto  watatu.  Wa  kwanza Gloria, wa pili ni Enidi, na watatu ni Suzzana.   Na kuwa na wajukuu watano.KAZI YA UTUMISHI NDANI YA KANISA Marehemu  mchungaji  Kajula  alianza  rasmi  kazi  ya  utumishi  ndani  ya  kanisa  kama  mwalimu  huko  Masoko,  Rungwe  Historia Ya Maisha Ya Marehemu mkoani Mbeya. Alianza kufundisha shule hiyo ya kanisa mwaka 1962. Hatimaye alihamishiwa katika Shule ya msingi Iganzo mwaka huo mwishoni. Alifanya kwa awamu mbili ya mwaka 1962 hadi 1964. Akaenda Heri Hospital na aliporudi mwaka 1966 alirudi tena Iganzo kama mwalimu.Wito  wa  kichungaji:  Marehemu  mchungaji  Kajula  alikuwa  na wito huo kwa muda mrefu ndipo alipopelekwa kusomea uchungaji katika chuo cha Bugema. Aliporudi alipangwa kuwa mchungaji wa Morogoro kuanzia 1969 hadi 1971. Lindi mwaka 1972 – 1973.
Songea mwaka 1973 kwa miezi sita tu. Hatimaye alirudi Lindi tena mwaka
1973 mwishoni mpaka 1975.

KUWEKEWA MIKONO:
Marehemu mchungaji Kajula aliwekewa mikono ya kichungaji Novemba 1974. Hii ni ngazi ya mwisho ya kichungaji kama uthibitisho wa kudumu wa kutumika katika utumishi huo.Aliitwa kuwa mchungaji wa Zanzibar mwaka 1975 kwa wiki moja.  Alienda  kuripoti  tu  hatimaye  akaambiwa  abaki  Dar-es-Salaam kuwa mchungaji wa Magomeni mwaka 1975 hadi 1977.Mwaka  1978  hadi  1985  aliitwa  kuwa  Mkurugenzi  wa  Lay  Activities (Idara ya Huduma za Washiriki) wakati huo  ikiwa pamoja na vijana, Dorkas, AMO na nyinginezo.Hatimaye ndipo alipokwenda masomoni huko India na Ufilipino Mwaka 1991 Disemba alirudi masomoni. Na Januari 1992 alipangwa kuwa mwalimu wa chuo cha TASC (Tanzania Adventist Seminary College) kwa miezi sita tu. Mwaka huo huo alipelekwa kuwa Mwenyekiti wa Mara Conference kuanzia 1992 hadi 1996. Hatimaye aliitwa huko Tanzania Union Mission, Arusha makao  makuu  mwaka  1996  kama  mkurugenzi  wa  idara  ya  Uchapaji na maeneo mapya ambapo alifanya kazi hiyo mpaka Januari mwaka 2000. Alipelekwa katika Field ya South West Tanzania kuwa mwenyekiti wake kuanzia 2000 mpaka 2005. Mwaka 2005 alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Union hiyo ya  zamani  (Tanzania  Union  Mission)  mwaka  2005  mpaka  2010.  Ndipo alipostaafu kazi ya utumishi ndani ya kanisa Novemba 2010.

JAMBO ATAKALOKUMBUKWA KATIKA UTUMISHI Marehemu mchungaji Joshua Kajula atakumbukwa kwa mambo  mengi  ambayo  ameyafanya  wakati  alipokuwa  akitumika  ndani  ya  kanisa    kwa  moyo  wake  wote.  Aliishi  maisha  ya  kawaida na kiwango cha chini kwa ajili ya kuwafikia waumini wote. Hakuwa na ubaguzi wa  kikabila wa kitabaka. Aliheshimika na watu wote. Ndio maana hata alipokuwa anakaribia kustaafu rasmi 2006; bado kanisa likaona ni vyema aendelee kulitumikia kwa muda wa ziada ya miaka mingine mitano ambayo ilikuwa tayari ni nje ya miaka ya kustaafu. Kanisa litamkumbuka sana kwa unyenyekevu wake na upole
 wake na pia swala la kuzielewa taratibu za kanisa na kuzisimamia vyema.
 Jambo la pekee sana ni pale alipokuwa anapenda kusali kwenye makanisa
madogo madogo na makundi ya kanisa. Ni jambo ambalo ni nadra sana kwa viongozi wa ngazi kama  yake  kutenda  hivyo  kwa  sababu  ya  majukumu  mazito waliyonayo.
 Ndugu  na  jamaa  nao  wanamkumbuka  kama  kaka  yao  ambaye  alikuwa 
na  upendo  wa  dhati  kwa  ndugu  wote.  Mtiifu  kwa wazazi. Mlezi
mwema kwa wazazi wake. Mdogo wake Steven  Kajula  anasema Kaka  alifanya  mambo  ambayo  kwa tamaduni na desturi za wanaume wa Kinyakyusa hawafanyi.Alikuwa mfano wa kuigwa kama Mkristo kwa familia yake na kwa  jamii  alimoishi.  Alikuwa  mcheshi  anayechangamana  na watu.  Anakumbukwa  pia  kama  mtu  aliyekuwa  na  hobby  ya kuendesha gari. Pamoja na umri mkubwa alikuwa na uwezo wa kuendesha gari kutoka Dar-es-Salaam hadi Mbeya bila kuchoka katika uzee wake huu. Pia alikuwa mtu anayejali sheria za  barabarani  kwani  mpaka  anafariki  hajawahi  kupata  ajali kwa  maisha  yake  yote.  Alikuwa  makini  sana  barabarani.  Ni jambo la kujifunza kwetu sote.MAJUKUMU MENGINE BAADA YA KUSTAAFU KWAKE Marehemu mchungaji Kajula alijishughulisha na shughuli zake ndogo ndogo kwani hakupenda kukaa tu nyumbani bila kazi.Alifanya shughuli ndogo ndogo kama mtu ambaye amezoea kufanya  kazi  muda  wote.  Lakini  bado  kanisa  lake  alilokuwa
 anasali, alianza kusali bado likiwa kundi tu hatimaye likapangwa kuwa
kanisa. Alifanya ushirika na kanisa la Kunduchi tarehe  6  Mei  2012. 
Na  kuanzia  mwaka  2013  mpaka  mauti  inapomkuta alikuwa na majukumu
ya uzee wa kanisa, kiongozi wa uhuru wa Dini, na pia kwa hekima yake alichaguliwa awe mshauri  wa  wazee  wa  kanisa  akishirikiana  na  mchungaji  wa  mtaa. Alifanya kazi hiyo huku akionyesha utii wa kuhudhuria semina  mbalimbali  zilizoitwa  na  viongozi  wa  juu  bila  kujali 
aliwahi  kuwa  kiongozi  mkubwa  wa  kanisa  katika  ngazi ya Union
Na huku akiunga mipango mikutano yote iliyopangwa na ngazi za juu kwa kusimamia vyema katika utekelezaji.

MATATIZO YA KIAFYA NA KIFO CHAKE
Marehemu mchungaji Joshua Kajula alianza kuugua mwishoni  mwa  utumishiwake  ugonjwa  wa  kisukari.  Lakini  aliweza  kupata tiba miaka michache akapona kwani sukari yake ilirudi katika hali ya kawaida kutokana na matibabu aliyoyapata kutoka       sehemu mbalimbali.Mnamo  mwaka  jana  alianza  kupata  tatizo  la  joto  la  mwili  kupanda juu sana bila kushuka. Ndipo alipolazwa katika hospital ya
Rabinisinia iliyoko maeneo ya Tegeta mwezi wa Disemba tarehe 24 hadi 25.
 Baadaye iligundulika kuwa ilikuwa ni malaria iliyosababisha joto kupanda sana.
Alitibiwa malaria na Alitoka akawa na udhaifu wa miguu ikawa imepoteza nguvu ya kutembea. Hatimaye alianza kupata nafuu ya miguu. Lakini ghaflatena mwezi machi mwanzoni joto la mwili likapanda tena.  Alipelekwa  Rabinisia  ambako  alipimwa.  Alilazwa  kwa  siku  moja,aliporuhusiwa  alirudi  nyumbani.  Usiku  huo  huo  hali  yake  ilibadilika  na  ndipo  alipopelekwa  Muhimbili  kwa  matibabu  zaidi.  Siku  ya  jumatatu  alipelekwa  Muhimbili  akapokelewa kama mgonjwa wa dharura (emergency patient) na kupelekwa wodini siku ya jumanne mpaka alhamisi. Na hali yake ikazidi kuwa mbaya ndipo alipoingizwa Chumba maalumu (ICU) siku ya
 Alhamisi jioni ambako alikaa mpaka Jumamosi Jioni alipofariki hakutoka
tena hapo.Hivyo marehemu mchungaji Joshua Kamenya Kajula alifariki tarehe 19 MACHI 2016 SAA MOJA USIKU Hapo ndipo ulipokuwa mwisho wa maisha ya Mtumishi wa Mungu Mchungaji Joshua Kamenya Kajula

KUZALIWA KWAKE Mchungaji Joshua Kamenya Kajula alizaliwa tarehe 28 Disemba 1939; huko Maeneo ya Majengo wilaya ya Mbeya Mjini katika Mkoa wa Mbeya. Yeye ni mtoto wa Pili kuzaliwa kati ya watano kwa mama yake. Baba yake alikuwa na wake wawili. Kwa upande wa mama yake ambaye ndiye alikuwa mke wa ndoa kwa baba walizaliwa wanaume watano. Alikuwa na ndugu wengine wawili waliozaliwa na baba yake kwa mke mwingine ambaye alirithiwa na baba yake baada ya kufiwa na kaka yake. Hivyo, kwa ujumla anatoka katika familia ya watoto saba kwa baba na kwa mama watano. ELIMU YAKE Marehemu mchungaji Kajula alipata elimu yake ya awali katika Shule ya kati (Middle School) huko Iganzo. Alisoma hapo mpaka darasa la sita mwaka 1955. Hatimaye alipelekwa Suji Upper Primary darasa la Saba na la Nane. Aliendelea na masomo yake katika kiwango cha darasa la tisa na la kumi (Standard 9 and 10). Ni sawa na kusema form two kwa lugha ya leo. Hatimaye alijiunga na chuo cha Ualimu huko Ikizu, mkoani Mara. Alisoma Diploma ya ualimu kwa miaka miwili hatimaye kwenda kuajiriwa mwaka 1962. Wakati huo aliamua kujiendeleza na elimu ya kidato cha nne bado akiwa kazini kwa kusoma kwa njia ya binafsi (private). Alifanya kazi kuanzia mwaka 1962 kwa miaka miwili hatimaye akaenda kuchukua kozi ya miaka miwili ya Elimu ya Afya (Health Education) huko Hospitali ya Heri, mkoani Kigoma. Huo ulikuwa ni mwaka 1964 hadi 1966.Hatimaye ndipo alipoenda kuchukua mafunzo ya kichungaji mwaka 1967 hadi 1968 huko Bugema, Uganda. Alipata diploma ya uchungaji. Safari yake ya elimu iliendelea mwaka 1985 hadi 1988 alipenda India katika chuo cha Poona Spicer Memorial College kwa masomo ya digrii yake ya kwanza. Na akahamia huko Ufilipino kwa masomo yake ya digrii ya pili. Alianza mwaka 1989 hadi 1991. Na kurejea Nyumbani. KUAMINI KWAKE Marehemu mchungaji alipata imani kupitia kwa mzungu mmoja aliyekuja kufanya kazi huko Misheni ya Iganzo. Mchungaji Kajula alikuwa akifanya kazi kwake ya house boy. Ndipo akawa mtu wa kwanza kupata imani katika familia yao. Tunaweza kusema kuamini kwake ndio chanzo na mlango wa kuwafanya ndugu zake wote watano kujiunga na kanisa hili la Waadventista WaSabato. Hatimaye mama yake alikuja kuamini baadaye kabisa. Mchungaji Joshua Kajula alibatizwa mwaka 1952. Mchungaji aliyembatiza ni Mchungaji Jacques aliyekuwa mmishonari huko Mbeya. MAISHA YA NDOA Marehemu mchungaji Joshua Kajula alifunga pingu za maisha tarehe 12 Septemba 1964 na Merry Justine Kimera (ni mtoto wa mchungaji Justine Salimu Kimera). Ndoa hii ilifungwa na Mchungaji Rufoko aliyekuwa ni mwenyeji wa Rwanda huko Heri Hospital ambako mchungaji Kajula alikwenda kuchukua masomo ya elimu ya afya. Mungu ameibariki familia hii kuwa na watoto watatu. Wa kwanza Gloria, wa pili ni Enidi, na watatu ni Suzzana. Na kuwa na wajukuu watano. KAZI YA UTUMISHI NDANI YA KANISA Marehemu mchungaji Kajula alianza rasmi kazi ya utumishi ndani ya kanisa kama mwalimu huko Masoko, Rungwe Historia Ya Maisha Ya Marehemu mkoani Mbeya. Alianza kufundisha shule hiyo ya kanisa mwaka 1962. Hatimaye alihamishiwa katika Shule ya msingi Iganzo mwaka huo mwishoni. Alifanya kwa awamu mbili ya mwaka 1962 hadi 1964. Akaenda Heri Hospital na aliporudi mwaka 1966 alirudi tena Iganzo kama mwalimu. Wito wa kichungaji: Marehemu mchungaji Kajula alikuwa na wito huo kwa muda mrefu ndipo alipopelekwa kusomea uchungaji katika chuo cha Bugema. Aliporudi alipangwa kuwa mchungaji wa Morogoro kuanzia 1969 hadi 1971. Lindi mwaka 1972 – 1973. Songea mwaka 1973 kwa miezi sita tu. Hatimaye alirudi Lindi tena mwaka 1973 mwishoni mpaka 1975. KUWEKEWA MIKONO: Marehemu mchungaji Kajula aliwekewa mikono ya kichungaji Novemba 1974. Hii ni ngazi ya mwisho ya kichungaji kama uthibitisho wa kudumu wa kutumika katika utumishi huo. Aliitwa kuwa mchungaji wa Zanzibar mwaka 1975 kwa wiki moja. Alienda kuripoti tu hatimaye akaambiwa abaki Dar-es-Salaam kuwa mchungaji wa Magomeni mwaka 1975 hadi 1977. Mwaka 1978 hadi 1985 aliitwa kuwa Mkurugenzi wa Lay Activities (Idara ya Huduma za Washiriki) wakati huo ikiwa pamoja na vijana, Dorkas, AMO na nyinginezo. Hatimaye ndipo alipokwenda masomoni huko India na Ufilipino. Mwaka 1991 Disemba alirudi masomoni. Na Januari 1992 alipangwa kuwa mwalimu wa chuo cha TASC (Tanzania Adventist Seminary College) kwa miezi sita tu. Mwaka huo huo alipelekwa kuwa Mwenyekiti wa Mara Conference kuanzia 1992 hadi 1996. Hatimaye aliitwa huko Tanzania Union Mission, Arusha makao makuu mwaka 1996 kama mkurugenzi wa idara ya Uchapaji na maeneo mapya ambapo alifanya kazi hiyo mpaka Januari mwaka 2000. Alipelekwa katika Field ya South West Tanzania kuwa mwenyekiti wake kuanzia 2000 mpaka 2005. Mwaka 2005 alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Union hiyo ya zamani (Tanzania Union Mission) mwaka 2005 mpaka 2010. Ndipo alipostaafu kazi ya utumishi ndani ya kanisa Novemba 2010. JAMBO ATAKALOKUMBUKWA KATIKA UTUMISHI Marehemu mchungaji Joshua Kajula atakumbukwa kwa mambo mengi ambayo ameyafanya wakati alipokuwa akitumika ndani ya kanisa kwa moyo wake wote. Aliishi maisha ya kawaida na kiwango cha chini kwa ajili ya kuwafikia waumini wote. Hakuwa na ubaguzi wa kikabila wa kitabaka. Aliheshimika na watu wote. Ndio maana hata alipokuwa anakaribia kustaafu rasmi 2006; bado kanisa likaona ni vyema aendelee kulitumikia kwa muda wa ziada ya miaka mingine mitano ambayo ilikuwa tayari ni nje ya miaka ya kustaafu. Kanisa litamkumbuka sana kwa unyenyekevu wake na upole wake na pia swala la kuzielewa taratibu za kanisa na kuzisimamia vyema. Jambo la pekee sana ni pale alipokuwa anapenda kusali kwenye makanisa madogo madogo na makundi ya kanisa. Ni jambo ambalo ni nadra sana kwa viongozi wa ngazi kama yake kutenda hivyo kwa sababu ya majukumu mazito waliyonayo. Ndugu na jamaa nao wanamkumbuka kama kaka yao ambaye alikuwa na upendo wa dhati kwa ndugu wote. Mtiifu kwa wazazi. Mlezi mwema kwa wazazi wake. Mdogo wake Steven Kajula anasema “Kaka alifanya mambo ambayo kwa tamaduni na desturi za wanaume wa Kinyakyusa hawafanyi.” Alikuwa mfano wa kuigwa kama Mkristo kwa familia yake na kwa jamii alimoishi. Alikuwa mcheshi anayechangamana na watu. Anakumbukwa pia kama mtu aliyekuwa na hobby ya kuendesha gari. Pamoja na umri mkubwa alikuwa na uwezo wa kuendesha gari kutoka Dar-es-Salaam hadi Mbeya bila kuchoka katika uzee wake huu. Pia alikuwa mtu anayejali sheria za barabarani kwani mpaka anafariki hajawahi kupata ajali kwa maisha yake yote. Alikuwa makini sana barabarani. Ni jambo la kujifunza kwetu sote. MAJUKUMU MENGINE BAADA YA KUSTAAFU KWAKE Marehemu mchungaji Kajula alijishughulisha na shughuli zake ndogo ndogo kwani hakupenda kukaa tu nyumbani bila kazi. Alifanya shughuli ndogo ndogo kama mtu ambaye amezoea kufanya kazi muda wote. Lakini bado kanisa lake alilokuwa anasali, alianza kusali bado likiwa kundi tu hatimaye likapangwa kuwa kanisa. Alifanya ushirika na kanisa la Kunduchi tarehe 6 Mei 2012. Na kuanzia mwaka 2013 mpaka mauti inapomkuta alikuwa na majukumu ya uzee wa kanisa, kiongozi wa uhuru wa Dini, na pia kwa hekima yake alichaguliwa awe mshauri wa wazee wa kanisa akishirikiana na mchungaji wa mtaa. Alifanya kazi hiyo huku akionyesha utii wa kuhudhuria semina mbalimbali zilizoitwa na viongozi wa juu bila kujali aliwahi kuwa kiongozi mkubwa wa kanisa katika ngazi ya Union. Na huku akiunga mipango mikutano yote iliyopangwa na ngazi za juu kwa kusimamia vyema katika utekelezaji wa kanisa lake mahalia. MATATIZO YA KIAFYA NA KIFO CHAKE Marehemu mchungaji Joshua Kajula alianza kuugua mwishoni mwa utumishiwake ugonjwa wa kisukari. Lakini aliweza kupata tiba miaka michache akapona kwani sukari yake ilirudi katika hali ya kawaida kutokana na matibabu aliyoyapata kutoka sehemu mbalimbali. Mnamo mwaka jana alianza kupata tatizo la joto la mwili kupanda juu sana bila kushuka. Ndipo alipolazwa katika hospital ya Rabinisinia iliyoko maeneo ya Tegeta mwezi wa Disemba tarehe 24 hadi 25. Baadaye iligundulika kuwa ilikuwa ni malaria iliyosababisha joto kupanda sana. Alitibiwa malaria na Alitoka akawa na udhaifu wa miguu ikawa imepoteza nguvu ya kutembea. Hatimaye alianza kupata nafuu ya miguu. Lakini ghaflatena mwezi machi mwanzoni joto la mwili likapanda tena. Alipelekwa Rabinisia ambako alipimwa. Alilazwa kwa siku moja,aliporuhusiwa alirudi nyumbani. Usiku huo huo hali yake ilibadilika na ndipo alipopelekwa Muhimbili kwa matibabu zaidi. Siku ya jumatatu alipelekwa Muhimbili akapokelewa kama mgonjwa wa dharura (emergency patient) na kupelekwa wodini siku ya jumanne mpaka alhamisi. Na hali yake ikazidi kuwa mbaya ndipo alipoingizwa Chumba maalumu (ICU) siku ya Alhamisi jioni ambako alikaa mpaka Jumamosi Jioni alipofariki hakutoka tena hapo. Hivyo marehemu mchungaji Joshua Kamenya Kajula alifariki tarehe 19 MACHI 2016 SAA MOJA USIKU. Hapo ndipo ulipokuwa mwisho wa maisha ya Mtumishi wa Mungu Mchungaji Joshua Kamenya Kajula

Copy the BEST Traders and Make Money : http://ow.ly/KNICZ

KUAGA MWILI WA MAREHEMU MCH KAJULA KANISA LA MWENGE S.D.A 23/3/2016

 Pr Godwin Lekundayo mkiti wa NTUC ndiye anayeongoza ibada ya mazishi ktk kanisa la Mwenge. Kabla ya kuanza hubiri walioimba ni kwaya ya wachungaji wote na wake zao.

 Pr Godwin Lekundayo mkiti wa NTUC

kwaya ya wachungaji wote na wake zao wakiimba 

Saturday, 19 March 2016

SIKU YA MATENDO YA HURUMA 19/03/2016 

Mungu wetu ni mwema sana.Kanisa la Waadventista Wasabato Mbezi luisjijini Dar es salaam nchini Tanzania.Walijielekeza kwenda kufanya Matendo ya Huruma katika maeneo yafuatayo:
1.Gereza la Mkuza
2.Hospitali ya Tumbi-Kibaha
3.Kituo cha kulea watoto yatima -Donbosco Kimara Suka.

Matukio ya picha hapo chini ni washiriki ambao walijielekeza katika kituo cha kulea Watoto yatima cha DONBOSCO KIMARA SUKA .Tulifarijika sana kuwatembelea watoto hawa na tulizidi kuuona mkono wa Mungu.
Tuliweza kuwapatia fedha taslimu Tsh 100,000/= 
1.Mafuta ya kupikia Ndoo ndogo 2 za lita 10.
2.Mafuta ya kupaka makubwa na madogo.
3.Sabuni za kufulia na za kuogea. nk

Mungu wetu atusaidie kuyatenda yanayompendeza kwa watu wote.

      Safari ikaanza tukiongozwa na Roho wa Mungu.

      Washiriki wakiimba wimbo katika ufunguzi wa Ibada.

     Mwinjilisti Mashota,Mzee Nyinyimbe na Mchungaji Mapima

         Usikivu makini wakati wa Ibada ikiendelea.

      Huyo ni Mlezi wa kituo cha Docbosco Kimara Suka

        Mwinjilisti MASHOTA akitoa Neno la Mungu

   Vijana wakiwapatia wenzao zawadi walizokuwa wamewabebea

Picha ya pamoja baada ya kumaliza Ibada 

KATIKA HOSPITALI YA TUMBI KIBAHA ILIKUWA HIVI

 Viongozi wa kanisa la SDA Mbezi Luis Pr Kyanzi, mzee wa kanisa Zawadi Mungereza, viongozi wa vijana Ngoda na Kulwa Jackson wakiongea na viongozi wa Zamu wa Hospitali wakibadilishana mawazo na kupeana mikakati ya kuboresha huduma kwa wagonjwa. Hatimaye mchungaji aliwaombea ili wafanye kazi kwa moyo na Mungu awabariki kwa utumishi mwema. Ni katika sabato ya matendo ya huduma, Jumamosi ya Leo.