MAKAMU WA KIONGOZI MKUU WA KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO
DUNIANI AWASILI JIJINI MBEYA:
Makamu wa Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato
Duniani Mchungaji Geofrey Gabriel Mbwana (wapili toka kulia) yuko jijini Mbeya
akiwa ni Mgeni rasmi kwenye Mkutano Mkuu wa Chama cha Wanataaluma na Wajasiriamali
Waadventista nchini Tanzania (ATAPE) ulioanza leo ambao unafanyika kwenye
Ukumbi wa Benjamini Mkapa jijini humo.
0 comments:
Post a Comment