Subscribe:

Wednesday, 18 May 2016

KARIBU TENA KATIKA MUENDELEZO WA MATUKIO YANAYOENDELEA RWANDA:
 
Ni ile mikutano ya Neno la Mungu ambayo imeshika kasi kubwa sana na mwitikio wa watu wa Mungu ni mkubwa sana.Watumishi wa Mungu wanapambana kuhubiri Neno la Mungu ili watu waokolewe.
Mikutano hii inapoendelea kufanyika basi nikuombe ufanye mambo ambayo ni ya pekee sana.
1.Tenga muda wako kwa ajili ya kuiombea Mikutano hii.
2. Ombea watumishi wa Mungu ambao wanapambana katika kueneza Neno la Mungu.
3. Ombea Amani, Upendo, Umoja kwa watu wote.
4. Ombea kazi ya Mungu Ulimwenguni mwote.

 

Pathfinders ambao hutumika kama walinzi heshima. Kuna makundi mengi ya Pathfinders na Master Guides ... Wao ni kujitolea na wenye vipaji ... Bwana asifiwe kwa Pathfinders , vijana ambao kumtumikia Bwana kwa upendo na kujitoa kwake "Vijana wengi huwepo katika ushirikishwaji "




Katika mkutano jana usiku , waheshimiwa ambao wana wageni huwaleta katika mikutano ya injili ! Jana usiku katika tovuti yetu , Mungu alipata watu wengi zaidi waliokubali wito kwa ubatizo, Bila shaka ilivyokuwa katika maeneo mengi ya zaidi ya 2,200. Msifu Mungu kwa nguvu zake katika Neno lake!


Tuesday, 17 May 2016

Ule Mkutano wa TAiN {Tanzania Adventist Internet Network} Utakaofanyika Dodoma mwaka huu. June 05 - 11,  2016
RATIBA NI HII:



MUENDELEZO WA MIKUTANO INAYOFANYIKA NCHINI RWANDA:

Ni katika siku nyingine tena ni ule mwendelezo wa ile Mikutano mikubwa ya Neno la Mungu Nchini Rwanda.Neno la Mungu linazidi kuhubiriwa kwa kasi na watu wanazidi kubarikiwa sana.


      Mch Dominic Mapima akiwa na Watafsiri katika moja ya Mikutano anayoiendesha.


         Umati Mkubwa wa Watu ukiwa katika Mikutano ya Neno la Mungu.
 

         Watu wa Mungu waliohudhuria moja ya Mikutano inayoendeshwa na Mch Dominic Mapima.
 
          Makamanda wa Yesu wakiwa tayari kupambana na Shetani.

            Ni Kwaya ambayo inazidi kubarikiwatu wa Mungu katika Mikutano hii.

Leo tena nikualike kuweza kuiombea sana Mikutano hii ili Neno la Mungu likatangazwe na watu waweze kufahamu ukuu wa Mungu kupitia watumishi wake.

Sunday, 15 May 2016

Mchungaji Ted Wilson. Mwenyekiti wa Kanisa la Waadventista Wasabato Duniani.Mnamo Tarehe 13/05/2016 alifungua rasmi Mikutano ya Injili Zaidi ya 2300. Itakayo fanyika Nchini RWANDA.(RUANDA).




Mikutano hii imeanza Tarehe 13/05/2016 hadi Tarehe 28/05/2016.
Mahubiri haya ni ya Divisheni ya General Conference.Union yetu ya Kusini mwa TANZANIA inawakilishwa na watu 7 ambao ni Wachungaji.
1.Mch Mark Walwa Malekana
2.Mch Filbert Mwanga
3.Mch John Nyaibago
4.Mch David Mmbaga
5.Mch Michael Twakaniki.
6.Mch Meshark Jackson
7.Dominic Mapima

Tuzidi kuiombea sana Mikutano hii.





                            Mch Dominic Mapima wakati akianza safari ya kuelekea Rwanda .


  Mch  Dominic Mapima akiwa na Pr Eliya, mchungaji wa mtaa Rwamagana ninapo hudumu hapa tukisindikiza kidogo msafara kwa ualikaji.

  Mch Dominic Mapima akiwa katika moja ya sehemu ya Mikutano hiyo.




      Eneo moja wapo la Mikutano huko Rwanda.



                        Mch David Mmbaga akiwa anahubiri katika moja ya Mikutano (Rwanda)


Saturday, 30 April 2016

Tarehe 30/4/2016 katika Sabato nzuri ya kumtukuza Mungu wa Mbinguni.Ambapo tulifurahi na kujifunza Ukuu wa Mungu.
Ila ilikuwa siku nzuri ambapo ilikuwa ni Hitimisho la Mahubiri makubwa ambayo yalikuwa yanaendeshwa katika Radio ya Waadventista Wasabato "Morning Star 105.3 Fm".Mahubiri haya yalikuwa yanaendeshwa na Mchungaji Joshua Kyanzi akiambatana na Mchungaji Dominic Mapima.
IDADI YA WALIOBATIZWA:
 TANZANIA - DAR ES SALAAM.
1. Watu 13
2. Watu 13
Jumla ni 26.

 NCHI YA CONGO:
Watu:  48
Vilevile ilikuwa ni hitimisho la iliyokuwa Semina ya wahitimu wa Waalimu wa Shule ya Sabato yaani ile Miongozo ya kujifunza Biblia.
Ndivyo tulivyoanza na Shule ya Sabato.


                       Wahudumu wa Shule ya Sabato. Na M/kiti  Zawadi Mngereza.

                    Tukipatiwa Ombi wakati wa Shule ya Sabato na Ndugu Azaria Kisaka.

                     Kwaya ya Vijana Kijichi wakitubariki kwa njia ya Nyimbo.

                                                   Ibada ikiendelea kwa Unyenyekevu.

             Mbezi Luis Uinjilisti wakitubariki kwa njia ya Wimbo.

       
                Mch Joshua Kyanzi akizungumza machache.

          Mnenaji Mkuu Mch HERBET NZIKU.

Saturday, 23 April 2016

HITIMISHO LA JUMA LA UCHAPISHAJI: 23/4/2016 


                               Dr. Watson Mwaibasa ndiye alikuwa mnenaji Mkuu.



         Mkuu wa Huduma Ndugu John Masuruli akipokea vitabu ambavyo alipatiwa wakati wa
           shule ya Sabato kwa ajili ya kusambaza kwa watu ambao hawajapata Neno la Mungu




                              Uinjilisti Kwaya wakifanya huduma ya Uimbaji wakati wa Ibada.




                                   Uvuvio kwaya wakifanya huduma wakati wa Ibada

Monday, 11 April 2016

TAiN--Tanzania Adventist Internet Network      June 5 - 11  2016 Dodoma


  
 
TAiN is a part of GAiN, 
GAiN is a community of Seventh-day Adventist technologists and communicators who connect to discuss the creative use of Internet technology in their work and in the lives of those whom they serve.
GAiN was organized in 2004 by the General Conference of Seventh-day Adventists. The community meets in an annual forum, which is facilitated by the denomination’s Communication Department in cooperation with the church’s world divisions and lay initiatives.