Mikutano hii imeanza Tarehe 13/05/2016 hadi Tarehe 28/05/2016.
Mahubiri haya ni ya Divisheni ya General Conference.Union yetu ya Kusini mwa TANZANIA inawakilishwa na watu 7 ambao ni Wachungaji.
1.Mch Mark Walwa Malekana
2.Mch Filbert Mwanga
3.Mch John Nyaibago
4.Mch David Mmbaga
5.Mch Michael Twakaniki.
6.Mch Meshark Jackson
7.Dominic Mapima
Tuzidi kuiombea sana Mikutano hii.
Mch Dominic Mapima wakati akianza safari ya kuelekea Rwanda .
Mch Dominic Mapima akiwa na Pr Eliya, mchungaji wa mtaa Rwamagana ninapo hudumu hapa tukisindikiza kidogo msafara kwa ualikaji.
Mch Dominic Mapima akiwa katika moja ya sehemu ya Mikutano hiyo.
Eneo moja wapo la Mikutano huko Rwanda.
Mch David Mmbaga akiwa anahubiri katika moja ya Mikutano (Rwanda)
0 comments:
Post a Comment