Subscribe:

Tuesday, 17 May 2016

MUENDELEZO WA MIKUTANO INAYOFANYIKA NCHINI RWANDA:

Ni katika siku nyingine tena ni ule mwendelezo wa ile Mikutano mikubwa ya Neno la Mungu Nchini Rwanda.Neno la Mungu linazidi kuhubiriwa kwa kasi na watu wanazidi kubarikiwa sana.


      Mch Dominic Mapima akiwa na Watafsiri katika moja ya Mikutano anayoiendesha.


         Umati Mkubwa wa Watu ukiwa katika Mikutano ya Neno la Mungu.
 

         Watu wa Mungu waliohudhuria moja ya Mikutano inayoendeshwa na Mch Dominic Mapima.
 
          Makamanda wa Yesu wakiwa tayari kupambana na Shetani.

            Ni Kwaya ambayo inazidi kubarikiwatu wa Mungu katika Mikutano hii.

Leo tena nikualike kuweza kuiombea sana Mikutano hii ili Neno la Mungu likatangazwe na watu waweze kufahamu ukuu wa Mungu kupitia watumishi wake.

0 comments:

Post a Comment