Subscribe:

Saturday, 30 April 2016

Tarehe 30/4/2016 katika Sabato nzuri ya kumtukuza Mungu wa Mbinguni.Ambapo tulifurahi na kujifunza Ukuu wa Mungu.
Ila ilikuwa siku nzuri ambapo ilikuwa ni Hitimisho la Mahubiri makubwa ambayo yalikuwa yanaendeshwa katika Radio ya Waadventista Wasabato "Morning Star 105.3 Fm".Mahubiri haya yalikuwa yanaendeshwa na Mchungaji Joshua Kyanzi akiambatana na Mchungaji Dominic Mapima.
IDADI YA WALIOBATIZWA:
 TANZANIA - DAR ES SALAAM.
1. Watu 13
2. Watu 13
Jumla ni 26.

 NCHI YA CONGO:
Watu:  48
Vilevile ilikuwa ni hitimisho la iliyokuwa Semina ya wahitimu wa Waalimu wa Shule ya Sabato yaani ile Miongozo ya kujifunza Biblia.
Ndivyo tulivyoanza na Shule ya Sabato.


                       Wahudumu wa Shule ya Sabato. Na M/kiti  Zawadi Mngereza.

                    Tukipatiwa Ombi wakati wa Shule ya Sabato na Ndugu Azaria Kisaka.

                     Kwaya ya Vijana Kijichi wakitubariki kwa njia ya Nyimbo.

                                                   Ibada ikiendelea kwa Unyenyekevu.

             Mbezi Luis Uinjilisti wakitubariki kwa njia ya Wimbo.

       
                Mch Joshua Kyanzi akizungumza machache.

          Mnenaji Mkuu Mch HERBET NZIKU.

0 comments:

Post a Comment