UFUNGUZI: ANGELA KAIRUKI -Waziri ndiye ambaye amefungua Mkutano wa Wanamawasaliano Mjini Dodoma. 06/06/2016
Waziri huyu akijibu Ombi la kanisa la Waadventista Wa Sabato Tanzania juu ya Ombi la Kupewa siku Mbadala ya Usafi kwani Jumamosi ni siku ya ibada kwa Kanisa hili Waziri alisema Serikali itahakikisha uhuru wa kuabudu kwa madhehebu yote na lamuhimu katika siku hii ni usafi hivyo kwasababu jumamosi mko kanisani basi Waumini wahakikishe Jumamosi mazingira yao yote yanakuwa safi kabla ya sabato kama kawaida ya Waadventista WA sabato huandaa sabato mapema.
Waziri ametoa Rai kwa Wana TAiN na Kanisa la Waadventista kwa ujumla
kuzingatia Maadili ya Matumizi sahihi ya mitandao mbalimbali ya habari
kulingana na Sheria ya mtandao na habari.
Mikutano hii iliyo anza jana tarehe 05/06/2016 itaendelea hadi jumamosi ya tarehe 11/06/2016.
Mikutano hii iliyo anza jana tarehe 05/06/2016 itaendelea hadi jumamosi ya tarehe 11/06/2016.
0 comments:
Post a Comment