"Maneno yaliyosemwa na Mch Ted Wilson baada ya kuhitimisha mikutano hii"
“Ni furaha iliyoje kubatizwa katika sehemu ya
Kanisa la Mungu.Nguvu ya watu binafsi ilitumika ya kuhubiri Neno la Mungu na
kufanya wito kwa kuleta watu wengine kwa Kristo. Watu hao walijiunga na kuweza kuendelea
na madarasa ya kujifunza Biblia. Katika baadhi ya matukio , watakuwa wakipangwa
katika makanisa mapya ya watu waliobatizwa hivi karibuni kuendelea kufanya kazi
ya uinjilisti kwa bidii.Mungu atusimamie katika kuifanya kazi yake.”
0 comments:
Post a Comment