UJENZI WA KANISA LA WAADVENTISTA MBEZI LUIS:
Kiongozi wa Majengo Dr Chacha Matoka akikagua madirisha tayari kwa kazi ya kuyajengea kanisa.
Endelea kutoa Mchango wako ili kazi ya Mungu ikamilike.
 
JUMAMOSI
	2:00 - 4:45 asubuhi - Sabbath School
	4:45 asubuhi - 6:00 mchana - Main Sermon
	8:00 mchana - 10:00 alasiri - Idara mbalimbali
	10:00 alasiri - 12:00 jioni - Vipindi Mbali mbalimbali
	12:00 jioni - 12:30 jioni - Kufunga Sabato
	JUMATANO
	11:00 jioni - 12:30 jioni - Maombi
	IJUMAA
	11:30 jioni - 12:30 jioni - Kufungua Sabato
 



0 comments:
Post a Comment