Dr. Blasious Ruguri yuko jijini
Mbeya:
Kiongozi
wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato,Dr. Blasious Ruguri yuko jijini
Mbeya kwa ziara ambapo atashiriki ufunguzi wa Jengo la Makao Makuu ya
Konferensi ya Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania iliyoko Iganzo,Shule ya
Sekondari ya Mbeya Adventist (MASS) iliyojengwa huko Forest,atatoa
Semina kwa Viongozi wa Makanisa ambapo siku ya Sabato ya Agosti 2,mwaka
huu washiriki wote wa makanisa ya Waadventista Wa Sabato jijini Mbeya na
wajumbe toka makanisa mbalimbali ya Konferensi hii watasali Iganzo
ambapo Dr Ruguri atahutubu.
0 comments:
Post a Comment