KANISA KUJITOSHELEZA KUWA NA WATAALAMU WA NYANJA MBALIMBALI:
MNENAJI: MCH MARK WALWA MALEKANA.
Askofu
Mkuu wa kanisa la Waadventista Wa Sabato Jimbo kuu la Kusini mwa
Tanzani Mchunga Mark Warwa Malekana ametoa rai Kwa waumini wote Tanzania
Kufanya kazi Siku sita na siku ya saba Yaje kanisani kwa Ibada na
Mapumziko tena bila kusahau Zaka na Sadaka kama shukrani kwa Mungu
mpaji.
Mchungaji Marekana Amesema Sasa kanisa Tanzania na
Afrika limejitoshereza kwa kila Taaluma Kama wanahabari walio bobea
tunao, Wahasibu wenye CPA tunao, Wahandisi Tunao, Wanatheolojia Tunao
Shida ni Waamini wengi Ni udumavu wa Kiroho.
Mchungaji Marekana Amesema hayo hii leo wakati akiusalimu Mkutano wa TAiN Unao endelea Mjini Dodoma.
0 comments:
Post a Comment