MNENAJI: MCH RICHARD KANIKI
Mkutano unaoendelea katika kanisa la Dodoma Sda na ikiwa ni siku ya tatu tangu kuanza rasmi kwa mkutano huu wa mawasiliano na habari. Leo ibada ya ufunguzi imeletwa na Mchungaji Kaniki ambaye alifafanua aina za mawasiliano ambazo.
NJIA ZA MAWASILIANO NI:
1. Maandishi
Hapa ni machapisho
mbalimbali ambapo alisisitiza kuwa njia ya maandishi ndio ilisaidia kuipeleka
injili mbele kwenye kipindi kama cha nabii
Mama White watu walitoa machapisho yake mbalimbaliambayo pia yalisaidia injili
kwenda mbele.
2. Mawasiliano kwa
njia ya mdomo
mwanzo 1:28-20
- Mawasiliano haya yanamuhm sana kwa wanandoa na kwa nyanja nyingine ya watumiaji wa mawasiliano.
1Petro3:7
3.Mawasiliano ya kimya
- Muonekano wa sura yake na vitendo vyake zinaashiria ujumbe au taarifa fulani juu jambo fulani.
Mwanzo 4:5-6
Dalili za mawasiliano ya mdomo
1. Usikilizaji
2 Mzungumzaji
3.Utawala wa mazungumzo.

0 comments:
Post a Comment