MOTTO: AMKA PIGA HATUA KUELEKEA JUU
NENO KUU: Akaenda pamoja na Mungu, Naye akatoweka maana Mungu alimtwaa "MWAMZO 5:24."
WIMBO MKUU: 73
Mnenaji Mkuu:Mch Astoni Mmamba.
SOMO: KUWA HURU BURE.
KUTOKA 21:1-5
*Mtumwa wa kiebrania kwa takribani miaka 6 na mwaka wa 7 akatoka utumwani akawa huru.
Katika maisha yako umesongwa na matatizo mengi kiasi gani na umehangaika nayo kwa muda gani katika kuishi kwako?Mkabidhi Yesu matatizo yako ili uwekwe huru.
Mch Astoni Mmamba.
"Kwaya ya Kwembe wakimtukuza Mungu kwa njia ya Uimbaji".
"Makamanda wa Yesu wakifanya Program katika Makambi"
"Kwaya ya Uinjilisti Mbezi Luis wakimtukuza Mungu kwa Uimbaji".
0 comments:
Post a Comment