MOTTO: AMKA PIGA HATUA KUELEKEA JUU
NENO KUU: Akaenda pamoja na Mungu, Naye akatoweka maana Mungu alimtwaa "MWAMZO 5:24."
WIMBO MKUU: 73
Mungu anazidi kuwa mwema tena katika makambi haya tunazidi kubarikiwa na watumishi wa Mungu...
Mchungaji ASTON MMAMBA akizungumza na watu wa Mungu.
Watoto nao wamo wakiweka usikivu wa hali ya juu wakijifunza ukuu wa Mungu.
Kwaya ya KWEMBE wakifanya huduma ya Uiimbaji katika makambi
Mch Abrahamu Youze akizungumza machache na watu wa Mungu.
Kwaya ya Uinjilisti Mbezi Luis wakifanya huduma ya Uiimbaji katika makambi
Kwaya ya Malamba mawili wakifanya hududma ya Uiimbaji katika makambi
Washiriki wakiweka usikivu wakati wa Ibada kuu.
0 comments:
Post a Comment