Subscribe:

Sunday, 23 August 2015

MAKAMBI MTAA WA MBEZI LUIS MWAKA 2015: 
MOTTO: AMKA PIGA HATUA KUELEKEA JUU
NENO KUU: Akaenda pamoja na Mungu, Naye akatoweka maana Mungu alimtwaa  "MWAMZO 5:24."
WIMBO MKUU: 73

Mnenaji Mkuu:Mch Astoni Mmamba. 
 

Ni Tarehe 22/8/2015 hitimisho la MAKAMBI MTAA WA MBEZI LUIS jijini Dar es salaam.Mungu atutie nguvu tunapojinyenyekeza mbele zake na tunapoongeza juhudi kuifanya kazi yake.Mungu awe nasi sote na tukutane tena mwakani katika kambi lingine.

     "Hao ni PATHFINDER wakiingia kwa gwaride kuonesha programu zao"

     "Hao ni PATHFINDER wakiingia kwa gwaride kuonesha programu zao"

      "Hao ni PATHFINDER wakionesha programu zao"

     "Hao ni ADVENTURE  wakiingia kwa gwaride kuonesha programu zao"

      "Hao ni ADVENTURE  wakionesha programu zao"

    "Hao ni PATHFINDER wakiingia kwa gwaride kuonesha programu zao"

     "Kwaya ya MALAMBA MAWILI ikimsifu Mungu kwa njia ya Uimbaji"

      "MASS kwaya ya Mtaa wa Mbezi Luis ikimsifu Mungu kwa njia ya Uimbaji"

      "Kwaya ya KWEMBE ikimsifu Mungu kwa njia ya Uimbaji"

       "Kwaya ya UINJILISTI mbezi Luis ikimsifu Mungu kwa njia ya Uimbaji"

      "Washiriki wakiwa makini kusikiliza ujumbe wa neno la Mungu"
 

      "Kwaya ya TEMBONI ikimsifu Mungu kwa njia ya Uimbaji"

      "Friends of Jesus wakimsifu Mungu kwa njia ya Uimbaji"

 

Friday, 21 August 2015

MAKAMBI MTAA WA MBEZI LUIS MWAKA 2015: 
MOTTO: AMKA PIGA HATUA KUELEKEA JUU
NENO KUU: Akaenda pamoja na Mungu, Naye akatoweka maana Mungu alimtwaa  "MWAMZO 5:24."
WIMBO MKUU: 73

 Hivi ndiyo tulivyo hitimisha kambi la Mbezi Luis watu 31 wamemkubali Yesu kwa njia ya ubatizo.




       "Kwaya ya Uinjilisti Mbezi Luis wakiimba na kumtukuza Mungu".


       "Watu waliojitoa kwa ubatizo siku ya leo ya Ijumaa 21/8/2015.Mungu awapiganie".

      "Ubatizo ukiendelea".

Thursday, 20 August 2015

MAKAMBI MTAA WA MBEZI LUIS MWAKA 2015: 
MOTTO: AMKA PIGA HATUA KUELEKEA JUU
NENO KUU: Akaenda pamoja na Mungu, Naye akatoweka maana Mungu alimtwaa  "MWAMZO 5:24."
WIMBO MKUU: 73

Mnenaji Mkuu:Mch Astoni Mmamba. 
 SOMO: KUWA HURU BURE.
KUTOKA 21:1-5

*Mtumwa wa kiebrania kwa takribani miaka 6 na mwaka wa 7 akatoka utumwani akawa huru.
Katika maisha yako umesongwa na matatizo mengi kiasi gani na umehangaika nayo kwa muda gani katika kuishi kwako?Mkabidhi Yesu matatizo yako ili uwekwe huru.

                                                                    Mch Astoni Mmamba. 

    "Kwaya ya Kwembe wakimtukuza Mungu kwa njia ya Uimbaji".



 "Makamanda wa Yesu wakifanya Program katika Makambi"


   "Kwaya ya Uinjilisti Mbezi Luis wakimtukuza Mungu kwa Uimbaji".

Tuesday, 18 August 2015

MAKAMBI MTAA WA MBEZI LUIS MWAKA 2015: 
MOTTO: AMKA PIGA HATUA KUELEKEA JUU
NENO KUU: Akaenda pamoja na Mungu, Naye akatoweka maana Mungu alimtwaa  "MWAMZO 5:24."
WIMBO MKUU: 73

Mungu anazidi kuwa mwema tena katika makambi haya tunazidi kubarikiwa na watumishi wa Mungu...

  Mchungaji ASTON MMAMBA akizungumza na watu wa Mungu.

  Kwaya ya UVUVIO wakifanya huduma ya Uiimbaji katika makambi

  Watoto nao wamo wakiweka usikivu wa hali ya juu wakijifunza ukuu wa Mungu.
 
 Kwaya ya KWEMBE  wakifanya huduma ya Uiimbaji katika makambi


  Mch Abrahamu Youze akizungumza machache na watu wa Mungu.

 Kwaya ya Uinjilisti Mbezi Luis  wakifanya huduma ya Uiimbaji katika makambi

 Kwaya ya Malamba mawili wakifanya hududma ya Uiimbaji katika makambi

  Washiriki wakiweka usikivu wakati wa Ibada kuu.

Sunday, 16 August 2015

MAKAMBI MTAA WA MBEZI LUIS MWAKA 2015: 
MOTTO: AMKA PIGA HATUA KUELEKEA JUU
NENO KUU: Akaenda pamoja na Mungu, Naye akatoweka maana Mungu alimtwaa  "MWAMZO 5:24."
WIMBO MKUU: 73

Ni Ufunguzi wa Makambi na huu utakuwa ni mwendelezo wa takribani wiki nzima yaani siku 7.
njoo uweze kubarikiwa na watumishi wa Mungu waliojiandaa kuzungumza nasi.
Mnenaji mkuu Mch Aston Mmamba aliweza kuzungumza na watu wa Mungu katika siku ya leo ya tarehe 16/8/2015 na akagusia juu ya LUKA 15:1-20 .




    Mch Aston Mmamba akinena na watu wa Mungu katika Makambi .


      "Kwaya ya Waadventista wasabato MBEZI LUIS UINJILISTI wakimsifu Mungu kwa njia ya Uimbaji"
 
      
      "Kwaya ya Waadventista wasabato TEMBONI wakimsifu Mungu kwa njia ya Uimbaji"

  
"Kwaya ya Waadventista wasabato MALAMBA MAWILI  wakimsifu Mungu kwa njia ya Uimbaji"


      "Kwaya ya Waadventista wasabato MSINGWA wakimsifu Mungu kwa njia ya Uimbaji"




      "Kikundi cha Friends Of Jesus wakimsifu Mungu kwa njia ya Uimbaji"

 
      "Kwaya ya Waadventista wasabato UVUVIO wakimsifu Mungu kwa njia ya Uimbaji"

Sunday, 9 August 2015

MKUTANO WA MAKAMBI MTAA WA MBEZI LUIS 2015:


Panga kubarikiwa sana unapojielekeza kuwepo katika huu Mkutano wa neno la Mungu kwa takribani siku 7 kuanzia Tarehe 16 -22 August 2015.
Waweza kufuatilia hapa yale yatakayokuwa yanajiri kupitia....http://mbeziluischurch.blogspot.com/
Asante sana.