KWAYA DAY ndivyo unavyoweza kuiita hivyo.Ambayo imefanyika Tarehe
4/7/2015.Ni katika Ibada ambayo imefanyika katika kanisa la waadventista wasabato
KWEMBE jijini Dar es salaam.Ambapo tukio hili lilisindikizwa na kwaya mbalimbali za waadventista wasabato.Lengo lilikuwa ni kuweza kupata Milion 100 kuweza kununua vyombo vya kwaya hiyo.Mwinjilisti
BENSON IZOKA alikuwa Mnenaji mkuuu na aliweza kutuweka karibu na miguu ya Yesu katika somo lililokuwa linasema "
NITAMBULISHE YESU"
Mwinjilisti BENSON IZOKA akuhubiri
Kwaya ya Uinjilisti MBEZI LUIS
Kwaya ya TABATA KINYEREZI wakiimba wakati wa Ibada kuu
Mzee wa kanisa Ndugu Togolani Mnkeni akiongoza zoezi la uchangiaji katika siku hiyo.
Mkurugenzi wa Elimu & Mawasiliano katika Konferensi ya SEC Ndugu Abraham Youze na familia yake wakisikiliza neno la Mungu.
Kwaya ya KWEMBE wakiimba na kumsifu Mungu
0 comments:
Post a Comment