Subscribe:

Saturday, 17 May 2014

Ni Mwonekano wa Kanisa la Waadventista Wasabato Mbezi Luis wakati wa Shule ya sabato maana ni Moyo wa kanisa:

Mwonekano wa Madhabahu katika Kanisa la Waadventista wasabato Mbezi Luis .

Mrs Kerenge akiwa Mwenyekiti wa Shule ya Sabato Mbezi Luis

Washiriki wakiwa kwenye Usikuvu wa hali ya juu kusikia kinachoendelea katika Shule ya Sabato.

Kwaya ya Uinjilisti Mbezi Luis wakiimba wimbo pili katika shule ya Sabato



0 comments:

Post a Comment