Subscribe:

Saturday, 17 May 2014

IBADA KUU IKIWA INAENDELEA KANISA LA  WAADVENTISTA WASABATO MBEZI LUIS

Mgeni Rasmi Ndugu KALUSE KITURURU akihubiri wakati wa Ibada 

 PEALGATE SINGERS wakimtukuza Mungu katika Ibada kuu
 KING'ONGO wakimtukuza Mungu katika Ibada kuu.

                             LIGHT BEARERS SINGERS wakimtukuza Mungu kwa Uimbaji

            Kiongozi wa Nyimbo za Vitabuni Mr Zawadi Mungereza akiimbisha wakati wa Ibada kuu
ACACIA SINGERS wakimtukuza Mungu wakati wa Ibada kuu

0 comments:

Post a Comment