Subscribe:

Saturday, 19 April 2014


 PTA jijini Dar e salaam sasa kutoka kulia ni Mkurugeni wa Mawasiliano wa Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati,Mch Steven Bina,Makamu Mwenyekiti wa GC,Mch Geofrey MbwanaKandus Thorp na Brad Thorp toka Hope Channel,Gidion Mtero toka Hope Channel,Makamu Mwenyekiti wa GCBenjamin D Schoun na Mwenyekiti wa ECD Mch Blasius Ruguri

 Mkurugenzi wa Kituo cha televisheni cha Kanisa la Waadventista Wa Sabato Duniani cha Hope Channel,Brad Thorp akitoa maelezo kwa Mkurugenzi wa vyombo vya habari wa Kanisa hilo nchini Tanzania, Mch Mussa Mika na Mtangazaji Maduhu hii leo Morning Star Radio

Monday, 7 April 2014

Ilikuwa jana Tarehe 6/4/2014 katika kanisa la Waadventista Wasabato Mbezi Luis ambapo tulishuhudia Ndoa Takatifu Kati ya Andrew na Rhoda ambapo kwa sasa ni mwili mmoja.




                                            Hakika inapendeza sana na sasa wamekuwa Mwili mmoja.

                                            Baadhi ya wasimamizi wa harusi hiyo.
                                                   Maharusi wakiwa kwenye RED CAPET 
                                                        Maharusi wakiwa wanaingia kanisani
Ni kanisa la Waadventista Wasabato Mbezi Luis jijini Dar es salaam.
Hapo Maharusi wakiangusha sahihi zao ikiwa ni Udhihirisho tosha kwamba ni mwili mmoja.

Friday, 4 April 2014

UFAFANUZI: MSTV itarusha matangazo yake kupitia king'amuzi cha Digitek, mkataba tayari uko tayari na pande zote zimekubaliana masharti yote muhimu . Tunaingia mkataba na Startimes kwa ajili ya kurusha Hope Channel ,masaa yapatayo manane yatarusha vipindi vilivyozakishwa na MSTV na yaliyosalia yatarusha vipindi vya Hope. Hii inamaana kubwa kwetu katika kufanikisha jukumu letu la utume kwa kasi ya KUPAA!

Ni Marehemu Mchungaji GODSON ELIENEZA. Atazikwa Nyumbani kwake Kijijini Hedaru Wilaya ya Same Mkoa wa Kilimanjaro. Ijumaa tarehe 4/4/2014

              Hayo hapo chini ni maandalizi ya mazishi ya shujaa wa Yesu mchungaji Gudson Elieneza