UFAFANUZI: MSTV itarusha matangazo yake kupitia king'amuzi cha Digitek,
mkataba tayari uko tayari na pande zote zimekubaliana masharti yote
muhimu . Tunaingia mkataba na Startimes kwa ajili ya kurusha Hope
Channel ,masaa yapatayo manane yatarusha vipindi vilivyozakishwa na MSTV
na yaliyosalia yatarusha vipindi vya Hope. Hii inamaana kubwa kwetu
katika kufanikisha jukumu letu la utume kwa kasi ya KUPAA!
0 comments:
Post a Comment