Ni George Gachu alipofunga Ndoa siku ya Jumapili ya Tarehe 20/7/2014 katika kanisa la Waadventista Wasabato Mbezi Jijini Dar es salaam.
Tuesday, 22 July 2014
Monday, 7 July 2014
Ilivyokuwa Tarehe 6/7/2014 katika kanisa la MSINGWA tulipokusanyika Mtaa wa MBEZI LUIS kufanya changizo kwa ajili ya kujenga Nyumba ya Mchungaji wa Mtaa.
Washiriki wakiwa katika utulivu kanisani
Kwaya ya Uinjilisti Mbezi Luis wakimtukuza Mungu katika Ibada kuu.
Washiriki wakiwa katika usikivu wa pekee katika Ibada
Kwa usikivu wa hali ya juu katika Ibada.
Kwaya ya MSINGWA ikimtukuza Mungu kwa njia ya Nyimbo katika darasa la Watoto.

Sunday, 15 June 2014
MATUKIO YA WABATIZWA KWENYE MKUTANO WA INJILI MBEZI LUIS 13/6/2014 AMBAPO TULIBATIZA WATU 35.
Umakini kusikiliza maelekezo kwa Mchungaji.
Uhakiki wa majina ukifanyika kwa wabatizwa kabla ya kula kiapo.
Wabatizwa wakisikiliza kwa umakini maelekezo kutoka kwa Mzee wa kanisa.
Wabatizwa wakila kiapo katika Mkutano wa Neno la Mungu
Wakiwa ndani ya Gari tayari kwa kwenda kubatizwa.
Mchungaji Tirumanywa akitoa maelekezo kwa wabatizwa kabla ya kuanza kuwabatiza.
Wakiwa wamepanga foleni tayari kwa kuingia kwenye maji na kubatizwa.
Mchungaji Tirumanywa akifanya huduma ya Ubatizo Msasani katika bahari ya Hindi.
Mbatizwa akitoka ndani ya maji.

Wednesday, 4 June 2014
BRAZIL:KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO NCHINI BRAZIL KUTOA HUDUMA ZA KIROHO NA KIJAMII WAKATI WA KOMBE LA DUNIA.
Makanisa mahalia ya Waadventista Wa Sabato nchini Brazil yatashiriki kutoa huduma za kiroho na kijamii kwa maelfu ya mashabiki wa mchezo wa soka wakati wa mashindano ya kombe la dunia yanayotarajiwa kuanza nchini humo juni 12,mwaka huu.
Shirika la Habari la Kanisa la
Waadventista Wa Sabato Duniani (ANN) limeeleza kuwa ,Kanisa la Waadventista Wa
Sabato nchini Brazil limepanga kuwatumia vijana na watu wazima wa kanisa hilo
katika majiji 12 inakofanyika michuano hiyo kwa kutoa huduma ya maji,matamasha
ya uimbaji,maonesho ya masuala ya afya na kujitolea damu.
Mpango huo unaoitwa Tumaini kwa Brazil
unalengo la kuwafikia watu toka nchi mbalimbali duniani watakaokuwa Brazil kushuhudia mashindano hayo pia utahusisha usambazaji wa vipeperushi na
uuzaji wa beji nchini humo ambako shule zitakuwa zimefungwa kwa muda wa siku 32
za michuano hiyo.
Hata hivyo kutakuwa na ugawaji wa
vitabu milioni moja vya
Tumaini Pekee kilichoandikwa na mwinjilisti wa Alejandro Bullón,magazeti yanayozungumzia
matatizo ya biashara ya ngono.
Areli Barbosa, ambaye ni Mkurugenzi wa
Vijana wa Divisheni ya Amerika ya Kusini katika kanisa la Waadventista Wa
Sabato amesema mpango huo si kwa ajili ya kuunga mkono michuano ya soka ya
Kombe la Dunia bali ni kutoa huduma kwa jamii.
Friday, 30 May 2014
Kamati kuu ya Union ya Kusini ya kanisa la Waadventista Wa Sabato
nchini Tanzania
Hivi karibuni imefanya mabadiliko ya viongozi na watendaji wa taasisi za kanisa hilo.
Kupitia taarifa iliyotolewa leo kwa wafanyakazi wa Morning Star Radio na Morning Star Televisheni na Mshauri na mlezi wa Taasisi hizo Mchungaji Robson Nkoko kwa niaba ya Mwenyekiti wa Kamati ya unioni Mchungaji Magulilo Mwakalonge ambaye ndiye mwenyekiti wa Kanisa la Waadventista Wasabato katika Union hiyo, imemteua Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Unioni hiyo Mchungaji Robson Nkoko kusimamia utendaji wa vyombo vya habari vya kanisa hilo.
Na aliyekuwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Vyombo vya Habari vya Kanisa hilo, Mchungaji Musa Mika ameitwa kufanya kazi ya kufasiri katika kiwanda cha uchapishaji cha kanisa (TAP) kilichopo mjini Morogoro.

Aliyekuwa Mhazini wa Tanzania Adventist Press Bwana Mathias Mavanza
amechaguliwa kushika nafasi ya aliyekuwa Mhazini wa Taasisi ya Vyombo
vya Habari vya Kanisa la Waadventista Wa Sabato Tanzania, Koheleth
Manumbu, ambaye ameitwa kuwa Mhasibu wa Kitengo cha Huduma ya Nyumbani,
Elimu na Maisha Bora (HHES) kilichopo Morogoro.
Kanisa la Waadventista wasabato nchini Tanzania inamiliki Morning Star Radio, Studio ya Redio ya Waadventista Ulimwenguni na Morning Star Radio.
Picha ya kwanza ni Mch Robson Nkoko akizungumza na wafanyakazi wa Morning Star Radio na TV picha ya Pili ni Mathias Mavanza(mwenyemiwani)katika picha na baadhi ya wafanyakazi

Wednesday, 28 May 2014
MAHUBIRI YA JIJI LA DAR –ES-SALAAM JUNE 1 - 21 2014
VITUO VYA MAHUBIRI:
No. KITUO
1. MORNING STAR RADIO
2. USHINDI
3. MIKOCHENI
4. KINONDONI
5. MWANANYAMALA/MSASANI
6. MABIBO
7. MBURAHATI
8. LUHANGA
9. MPAKANI
10. KUNDUCH BEACH
11. MBEZI BEACH
12. LUGALO
13. SALASALA
14. MBEZI JUU
15. LUGOBA
16. TABATA
17. KIMANGA
18. CHANG’OMBE
19. MLIMANI
20. MAKOKA
21. YOMBO
22. VITUKA
23. KIWALANI
24. DOVYA
25. KIPERA
26. BUZA
27. MALAWI
28. ILALA
29. KIGOGO
30. MZIZIMA
31. BUGURUNI
32. MAKONGO JUU
33. M.KASKAZINI
34. CHUO KIKUU
35. GOLANI
36. NYAMATO
37. MAKONGO KASKAZINI
38. KURASINI
39. KIJICHI
40. MTONI
41. MABIBO HOSTEL
42. KIBO
43. KABANGUJUU
44. MAKOLA
45. EXTERNAL
46. MIKONGENI
47. TAMBANI
48. KISAWE
49. KWEMBE
50. KITUNDA
51. MACHIMBO
52. KITUNDA KATI
53. KIYOMBO
54. AMANI
55. KIBAMBA
56. KANANI
57. LUGURUNI
58. MAKABE
59. KIMARA
60. KILUNGULE
61. KING’ONGO
62. SUKA
63. KIGAMBONI
64. VIJIBWENI
65. MJI MWEMA
66. KIBADA
67. MWONGOZO
68. GEZA ULOLE
69. MANZESE
70. SINZA
71. TANDALE
72. UKONGA
73. MZAMBARAUNI
74. KIPUNGUNI
75. MAJOHE
76. CHANIKA
77. BUYUNI
78. DONDWE
79. MVUTI
80. KISARAWE
81. PUNGU
82. KIGOGO
83. SEGEREA
84. KINYEREZI
85. KIFURU
86. BONYOKWA
87. TEMEKE
88. KEKO
89. MSIMBAZI
90. ULONGONI “B”
91. ULONGONI “A”
92. MONGOLANDEGE
93. MWENGE
94. MJI MPYA
95. MOGO
96. KARAKATA
97. VINGUNGUTI
98. MISEWE
99. MJI MPYA
100. BUNJU
101. TEGETA
102. MBWENI
103. BOKO
104. MADALA
105. WAZO
106. MABWEPANDE
107. KONGOWE
108. MBAGALA
109. MBANDE
110. TOANGOMA
111. MKURANGA
112. KIBURUGWA
113. CHAMAZI
114. NAZARETH
115. MBEZI LUIS
116. MBEZI TEMBONI
117. MALAMBA MAWILI
118. KIVULE
119. MAGOLE
120. MZINGA
121. MSONGOLA
Jeshi la Bwana limejipanga kisawasawa kuvamia jiji na kwa kipindi hiki na plan hii hatoki mtu hapa! Tuzidi kuombea kazi hii ifanyike kwa utukufu wa Bwana.
CHANZO: Mchungaji Stephen Letta

Subscribe to:
Posts (Atom)