Subscribe:

Sunday, 12 January 2014

WANAKWAYA WA KANISA LA WAADVENISTA WASABATO MBEZI LUIS WAKIMTUKUZA MUNGU KWENYE IBADA YA KUUTENGA MTAA WA KIBAMBA.





ILIVYOKUWA TAREHE 11/1/2014 KATIKA KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO LUGURUNI AMBAPO MTAA WA KIBAMBA ULIOKUWA UNATENGWA KUTOKA MTAA WA MBEZI LUIS.NA HAPOHAPO WATENDAKAZI WA MWAKA 2014 WALIKUWA WANAWEKWA WAKFU KWA KAZI YA MUNGU.





Sunday, 5 January 2014

"MUNGU AWE NASI TUNAPOUANZA MWAKA WA 2014 TUIFANYE KAZI YAKE KWA BIDII"


Wednesday, 13 November 2013

"Wanakwaya wa Kanisa la Waadventista Wasabato Mbezi Luis Wakiwa katika Muonekano Tofauti tofauti wa Uimbaji wakikamilisha Mchakato wa Video Shotting itakayo kujia Mda si mrefu.Endelea kuwaombea sana"













"Ni baadhi ya Kwaya Mbalimbali Zikiwa Zinamtukuza Mungu Katika Kongamano la Uimbaji Lililofanyika Jumapili ya Tarehe 10/11/2013.







"Mzee wa Kanisa Kiongozi na Msaidizi wa Mchungaji wa Mtaa wa Mbezi Luis Ndugu Ahad .S. Mnkeni akizungumza machache Katika Tamasha la Uimbaji lililofanyika Jumapili ya Tarehe 10/11/2013."


"Ndugu Ahad.S.Mnkeni akiwa anafuatilia kwa umakini yale yaliyokuwa yanajiri katika Tamasha hilo la Uimbaji.Pembeni yake mkono wa kushoto kwake ambapo ni kulia kwako ni Mgeni Rasmi Ndugu Angellar Kairuki Naibu Waziri wa Katiba na Sheria"
Ni Naibu Waziri wa Katiba Na Sheria Mhe Angellar Kairuki Akitoa Hotuba Katika Kanisa La Waadventista Wasabato Mbezi Luis Jijini Dar Es Salaam Katika Tamasha La Uimbaji Na Kuichangia Kwaya Ya Mtaa Wa Mbezi Kwenda Kampala Uganda Kwenye Kongamano la Uimbaji"