Subscribe:

Wednesday, 4 February 2015

MISSION EXTRAVAGANZA IMEANZA LEO TAREHE 4/2/2015 JIJINI DAR ES SALAAM KATIKA UWANJA WA TAIFA.PANGA KUWEPO.
HII NDIO TASWIRA ILIYOPO HAPA UWANJA WA TAIFA.







MAMBO YAKIWEKWA SAWA UWANJA WA TAIFA TAYARI KWA EXRA VAGANZA.






Tuesday, 3 February 2015

HAYA NDIO YALIYOJIRI LEO TAREHE 3/2/2015 KATIKA UZINDUZI WA KONFERENCE MPYA YA KUSINI MASHARIKI HUKO KWEMBE JIJINI DAR ES SALAAM IKIONGOZWA NA MCH MARK WALWA MALEKANA.

 Hao ni vijana toka shule ya Kongowe Adventist Primary School wakijiandaa kumpokea Mgeni Rasmi.

 Kwaya ya Mtaa wa Mbezi Luis wakiimba wakati wa kumkaribisha Mgeni Rasmi.


 Mwenyekiti wa Konferensi ya Kusini Mashariki Pr MALEKANA akimpokea Pr MWILEMBA alipowasili.


 Pr MALEKANA akizungumza jambo na watu wa Mungu.

 Pr MWILEMBA akizungumza na watu wa Mungu kabla ya Uzinduzi rasmi.


 Pr MWILEMBA rasmi kazindua Majengo ya Konferensi ya Kusini Mashariki mwa Tanzania.



 Pr MWILEMBA akisaini kitabu cha wageni mara baada ya Uzinduzi rasmi kufanyika.


 Mke wa Pr MWILEMBA akisaini kitabu cha wageni.


 Pr MALEKANA akihojiwa na waandishi wa habari.


 Pr MWILEMBA akiwa anatoka nje ya Jengo la Konferensi huku akisindikizwa na kwaya ya Waadventista wasabato KWEMBE.


 Pr MWILEMBA akiwa nje ya majengo ya Konferensi tayari kwa kuondoka.


Wafutao ni viongozi wa Konferensi mpya ya Kusini Mashariki mwa Tanzania katika kanisa la Waadventista Wa Sabato ambao ni;- Mwenyekiti: Mch. Mark Walwa Malekana Katibu:Hebert Nziku Mhazini:Yusuph Zege Mkurugenzi wa Huduma:Mch Toto Kusaga Vijana:Wilfred Mafwimbo Elimu na Mawasiliano:Abrahamu Youze Afya na Familia:Mwaibasa Whatson Huduma za wanawake:Bernais Luuha

Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin
jWafutao ni viongozi wa Konferensi mpya ya Kusini Mashariki mwa Tanzania katika kanisa la Waadventista Wa Sabato ambao ni;- Mwenyekiti: Mch. Mark Walwa Malekana Katibu:Hebert Nziku Mhazini:Yusuph Zege Mkurugenzi wa Huduma:Mch Toto Kusaga Vijana:Wilfred Mafwimbo Elimu na Mawasiliano:Abrahamu Youze Afya na Familia:Mwaibasa Whatson Huduma za wanawake:Bernais Luuha

Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin

Monday, 2 February 2015

Ndivyo ilivyokuwa katika kuhitimisha Mkutano wa Neno la Mungu ambao ulichukua takribani wiki 3 katika viwanja vya ZONE jijini Dar es salaam ambapo Mchungaji Zackaria Mnzava toka Tunduma ndiye alikuwa mnenaji mkuu.Watu wa Mungu walibarikiwa sana.Hapo tuliweza kupata watu 37 ambao walikiri kuachana na mambo ya dunia na kuamua kumfuata Yesu.


  Viongozi wa Nyimbo za Kristo wakiimbisha kwenye Mkutano.

 Watu waliokuwa wameudhuria katika Mkutano wa Neno la Mungu.


 Kwaya ya UVUVIO ya vijana wakimtukuza Mungu kwa njia ya nyimbo

 Kwaya ya Uinjilisti Mbezi Luis wakimtukuza Mungu kwa njia ya Uimbaji

 Mchungaji MNZAVA akinena na watu wa Mungu katika Ibada kuu.

 Mchungaji MNZAVA akinena na watoto katika Ibada kuu.


 Watoto wakiwa na waalimu wao

 Watu waliojitoa kwa ajili ya Ubatizo.

 Watu waliojitoa kwa ajili ya Ubatizo wakila kiapo.

 Mzee wa Kanisa kiongozi BAHATI MASURULI akimkabidhi zawadi Mchungaji Mnzava

 Mzee wa Kanisa kiongozi BAHATI MASURULI akimkabidhi zawadi Mchungaji Mnzava

 Baada ya kupokea zawadi akawa na machache ya kuzungumza kwa watu wa Mungu.

 Maombi makubwa yalifanyika kuwaombea watu wa Mungu na kuhitimisha Mkutano mkubwa .




UNGANA NA MCHUNGAJI GEOFREY MMBWANA KATIKA "DHAWABU YA UADILIFU" MAHUBIRI YANAYORUSHWA NA MORNING STAR TV KATIKA KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO USHINDI MIKOCHENI JIJINI DAR ES SALAAM.
VING'AMUZI VYA TING,DIGITEK,CONTINENTAL NDIVYO UNAWEZA KUPATA MORNING STAR TV.