Viongozi wa Nyimbo za Kristo wakiimbisha kwenye Mkutano.
Watu waliokuwa wameudhuria katika Mkutano wa Neno la Mungu.
Kwaya ya UVUVIO ya vijana wakimtukuza Mungu kwa njia ya nyimbo
Kwaya ya Uinjilisti Mbezi Luis wakimtukuza Mungu kwa njia ya Uimbaji
Mchungaji MNZAVA akinena na watu wa Mungu katika Ibada kuu.
Mchungaji MNZAVA akinena na watoto katika Ibada kuu.
Watoto wakiwa na waalimu wao
Watu waliojitoa kwa ajili ya Ubatizo.
Watu waliojitoa kwa ajili ya Ubatizo wakila kiapo.
Mzee wa Kanisa kiongozi BAHATI MASURULI akimkabidhi zawadi Mchungaji Mnzava
Mzee wa Kanisa kiongozi BAHATI MASURULI akimkabidhi zawadi Mchungaji Mnzava
Baada ya kupokea zawadi akawa na machache ya kuzungumza kwa watu wa Mungu.
Maombi makubwa yalifanyika kuwaombea watu wa Mungu na kuhitimisha Mkutano mkubwa .
0 comments:
Post a Comment