KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM-TANZANIA.Leo 17/09/2016
Tukio la kuwekwa wakfu wachungaji ikiongozwa Na Mch Mark Walwa Malekana ambaye ni mwenyekiti Wa Union ya Kusini kwa Tanzania linaendelea hapa katika kambi la Mtaa Wa Kinondoni.
 
JUMAMOSI
	2:00 - 4:45 asubuhi - Sabbath School
	4:45 asubuhi - 6:00 mchana - Main Sermon
	8:00 mchana - 10:00 alasiri - Idara mbalimbali
	10:00 alasiri - 12:00 jioni - Vipindi Mbali mbalimbali
	12:00 jioni - 12:30 jioni - Kufunga Sabato
	JUMATANO
	11:00 jioni - 12:30 jioni - Maombi
	IJUMAA
	11:30 jioni - 12:30 jioni - Kufungua Sabato
 



0 comments:
Post a Comment