WANA MKUTANO WA TAiN-DODOMA WAKIWA KATIKA ZIARA YA BUNGENI:
Wana TAiN Wakiwa Nje ya Ukumbi wa Bunge hii Leo Baada yakusikiliza Mjadala wa Wizara ya Fedha Uliyo kuwa ukiendelea.
Mikutano Ya TAiN iliyo anza tarehe 05/06/2016 inategemea kuisha kesho
na hatimaye Jumapili watu watakuwa wakitawanyika kuelekea Pande Nne za
Nchi ya Tanzania.
Endelea kutuombea sana..
0 comments:
Post a Comment