Subscribe:

Saturday, 30 April 2016

Tarehe 30/4/2016 katika Sabato nzuri ya kumtukuza Mungu wa Mbinguni.Ambapo tulifurahi na kujifunza Ukuu wa Mungu.
Ila ilikuwa siku nzuri ambapo ilikuwa ni Hitimisho la Mahubiri makubwa ambayo yalikuwa yanaendeshwa katika Radio ya Waadventista Wasabato "Morning Star 105.3 Fm".Mahubiri haya yalikuwa yanaendeshwa na Mchungaji Joshua Kyanzi akiambatana na Mchungaji Dominic Mapima.
IDADI YA WALIOBATIZWA:
 TANZANIA - DAR ES SALAAM.
1. Watu 13
2. Watu 13
Jumla ni 26.

 NCHI YA CONGO:
Watu:  48
Vilevile ilikuwa ni hitimisho la iliyokuwa Semina ya wahitimu wa Waalimu wa Shule ya Sabato yaani ile Miongozo ya kujifunza Biblia.
Ndivyo tulivyoanza na Shule ya Sabato.


                       Wahudumu wa Shule ya Sabato. Na M/kiti  Zawadi Mngereza.

                    Tukipatiwa Ombi wakati wa Shule ya Sabato na Ndugu Azaria Kisaka.

                     Kwaya ya Vijana Kijichi wakitubariki kwa njia ya Nyimbo.

                                                   Ibada ikiendelea kwa Unyenyekevu.

             Mbezi Luis Uinjilisti wakitubariki kwa njia ya Wimbo.

       
                Mch Joshua Kyanzi akizungumza machache.

          Mnenaji Mkuu Mch HERBET NZIKU.

Saturday, 23 April 2016

HITIMISHO LA JUMA LA UCHAPISHAJI: 23/4/2016 


                               Dr. Watson Mwaibasa ndiye alikuwa mnenaji Mkuu.



         Mkuu wa Huduma Ndugu John Masuruli akipokea vitabu ambavyo alipatiwa wakati wa
           shule ya Sabato kwa ajili ya kusambaza kwa watu ambao hawajapata Neno la Mungu




                              Uinjilisti Kwaya wakifanya huduma ya Uimbaji wakati wa Ibada.




                                   Uvuvio kwaya wakifanya huduma wakati wa Ibada

Monday, 11 April 2016

TAiN--Tanzania Adventist Internet Network      June 5 - 11  2016 Dodoma


  
 
TAiN is a part of GAiN, 
GAiN is a community of Seventh-day Adventist technologists and communicators who connect to discuss the creative use of Internet technology in their work and in the lives of those whom they serve.
GAiN was organized in 2004 by the General Conference of Seventh-day Adventists. The community meets in an annual forum, which is facilitated by the denomination’s Communication Department in cooperation with the church’s world divisions and lay initiatives.