Naam ni katika siku nyingine tena ungana nasi kufahamu kinachojiri huko SAN ANTONIO - MAREKANI. Ni baadhi ya watu waliofika huko katika Mkutano wa kuchagua viongozi wa kanisa la waadventista wasabato Duniani.
Mch. Sumwa akitoa maelekezo mara baada ya kuwasili eneo la mkutano
Mch Christopher Ungani akiwa na Adrium Mganga katika picha ya pamoja.
Mch Mark Walwa Marekana akiwa anatabasamu la pekee kuwa miongoni katika Mkutano huo
0 comments:
Post a Comment