NI MAREHEMU MCH NICKANOR KIKIWA NA LEO TAREHE 18/2/2015 NDIPO WATU WA JIJINI DSM WALIWEZA KUUONA KWA MARA YA MWISHO MWILI WA MAREHEMU KATIKA KANISA LA WAADVENISTA WASABATO TEMEKE.
Huduma ya kuaga mwili wa Mch.Nikanor Kikiwa aliye fikwa na mauti Leo(tarehe 17/02/2015) saa 4:25 asubuhi katika hospitari ya Dar group iliyopo daresalaam. Ratiba zitakuwa kama ifuatavyo:-
1. Msiba Leo(17/02/201 upo Temeke SDA
2. Huduma ya kuona mwili pamoja na ibada kwa watu wa Dar itafanyika
kesho(18/02/2015) saa 4:00 kamili asubuhi Temeke SDA Church-Itaendeshwa
na Mwenyekiti wa Union ya kusini mwa Tanzania Mchungaji Magulilo
Mwakalonge.
3. Baada ya huduma kuisha Temeke safari itaanza kuelekea Morogoro nyumbani kwa marehemu.
4. Huduma ya kuona mwili pamoja na ibada kwa watu wa morogoro
itafanyika kesho kutwa (19/02/2015) saa 3:00 kamili asubuhi Misufini
SDA Church-Itaendeshwa na Mwenyekiti wa Kenference ya mashariki na kati
ya tanzania(ECT)Mchungaji Joseph Mngwabi.
Taarifa Hii imetolewa na Msemaji wa Familia. Mch. Haruni Kikiwa(Kaka wa Marehemu)-Mkurugenzi wa Mawasiliano na Afya-SHC
0 comments:
Post a Comment