Subscribe:

Thursday, 19 February 2015

SEMINA YA UWAKILI UNIONI MISSION YA KUSINI MWA TANZANIA YAANZA HUKO IRINGA.

 

 














 

Wednesday, 18 February 2015

NI MAREHEMU MCH NICKANOR KIKIWA NA LEO TAREHE 18/2/2015 NDIPO WATU WA JIJINI DSM WALIWEZA KUUONA KWA MARA YA MWISHO MWILI WA MAREHEMU KATIKA KANISA LA WAADVENISTA WASABATO TEMEKE.

 Huduma ya kuaga mwili wa Mch.Nikanor Kikiwa aliye fikwa na mauti Leo(tarehe 17/02/2015) saa 4:25 asubuhi katika hospitari ya Dar group iliyopo daresalaam. Ratiba zitakuwa kama ifuatavyo:-
1. Msiba Leo(17/02/201 upo Temeke SDA
2. Huduma ya kuona mwili pamoja na ibada kwa watu wa Dar itafanyika kesho(18/02/2015) saa 4:00 kamili asubuhi Temeke SDA Church-Itaendeshwa na Mwenyekiti wa Union ya kusini mwa Tanzania Mchungaji Magulilo Mwakalonge.

3. Baada ya huduma kuisha Temeke safari itaanza kuelekea Morogoro nyumbani kwa marehemu.
4. Huduma ya kuona mwili pamoja na ibada kwa watu wa morogoro itafanyika kesho kutwa (19/02/2015) saa 3:00 kamili asubuhi Misufini SDA Church-Itaendeshwa na Mwenyekiti wa Kenference ya mashariki na kati ya tanzania(ECT)Mchungaji Joseph Mngwabi.

Taarifa Hii imetolewa na Msemaji wa Familia. Mch. Haruni Kikiwa(Kaka wa Marehemu)-Mkurugenzi wa Mawasiliano na Afya-SHC







Friday, 6 February 2015

RAIS WA KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO DUNIANI ALIPOWASILI UWANJA WA TAIFA JIJINI DSM AKIWA NA WAZIRI WA MAMBO YA NCHI ZA N'JE WA TANZANIA BENARD MEMBE AMBAYE NDIYE ALIYEUFUNGA MKUTANO WA EXTRAVAGANZA.

















UJIO WA RAIS WA KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO DUNIANI HAPA TANZANIA
PR TEDDY WILSON.PANGA KUWEPO HAPO KESHO TAREHE 7/2/2015 KWENYE MKUTANO MKUBWA WA NENO LA MUNGU EXTRAVAGANZA MISSION.











Wednesday, 4 February 2015

MISSION EXTRAVAGANZA IMEANZA LEO TAREHE 4/2/2015 JIJINI DAR ES SALAAM KATIKA UWANJA WA TAIFA.PANGA KUWEPO.
HII NDIO TASWIRA ILIYOPO HAPA UWANJA WA TAIFA.







MAMBO YAKIWEKWA SAWA UWANJA WA TAIFA TAYARI KWA EXRA VAGANZA.






Tuesday, 3 February 2015

HAYA NDIO YALIYOJIRI LEO TAREHE 3/2/2015 KATIKA UZINDUZI WA KONFERENCE MPYA YA KUSINI MASHARIKI HUKO KWEMBE JIJINI DAR ES SALAAM IKIONGOZWA NA MCH MARK WALWA MALEKANA.

 Hao ni vijana toka shule ya Kongowe Adventist Primary School wakijiandaa kumpokea Mgeni Rasmi.

 Kwaya ya Mtaa wa Mbezi Luis wakiimba wakati wa kumkaribisha Mgeni Rasmi.


 Mwenyekiti wa Konferensi ya Kusini Mashariki Pr MALEKANA akimpokea Pr MWILEMBA alipowasili.


 Pr MALEKANA akizungumza jambo na watu wa Mungu.

 Pr MWILEMBA akizungumza na watu wa Mungu kabla ya Uzinduzi rasmi.


 Pr MWILEMBA rasmi kazindua Majengo ya Konferensi ya Kusini Mashariki mwa Tanzania.



 Pr MWILEMBA akisaini kitabu cha wageni mara baada ya Uzinduzi rasmi kufanyika.


 Mke wa Pr MWILEMBA akisaini kitabu cha wageni.


 Pr MALEKANA akihojiwa na waandishi wa habari.


 Pr MWILEMBA akiwa anatoka nje ya Jengo la Konferensi huku akisindikizwa na kwaya ya Waadventista wasabato KWEMBE.


 Pr MWILEMBA akiwa nje ya majengo ya Konferensi tayari kwa kuondoka.


Wafutao ni viongozi wa Konferensi mpya ya Kusini Mashariki mwa Tanzania katika kanisa la Waadventista Wa Sabato ambao ni;- Mwenyekiti: Mch. Mark Walwa Malekana Katibu:Hebert Nziku Mhazini:Yusuph Zege Mkurugenzi wa Huduma:Mch Toto Kusaga Vijana:Wilfred Mafwimbo Elimu na Mawasiliano:Abrahamu Youze Afya na Familia:Mwaibasa Whatson Huduma za wanawake:Bernais Luuha

Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin
jWafutao ni viongozi wa Konferensi mpya ya Kusini Mashariki mwa Tanzania katika kanisa la Waadventista Wa Sabato ambao ni;- Mwenyekiti: Mch. Mark Walwa Malekana Katibu:Hebert Nziku Mhazini:Yusuph Zege Mkurugenzi wa Huduma:Mch Toto Kusaga Vijana:Wilfred Mafwimbo Elimu na Mawasiliano:Abrahamu Youze Afya na Familia:Mwaibasa Whatson Huduma za wanawake:Bernais Luuha

Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin