Subscribe:

Wednesday, 13 November 2013

"Wanakwaya wa Kanisa la Waadventista Wasabato Mbezi Luis Wakiwa katika Muonekano Tofauti tofauti wa Uimbaji wakikamilisha Mchakato wa Video Shotting itakayo kujia Mda si mrefu.Endelea kuwaombea sana"













"Ni baadhi ya Kwaya Mbalimbali Zikiwa Zinamtukuza Mungu Katika Kongamano la Uimbaji Lililofanyika Jumapili ya Tarehe 10/11/2013.







"Mzee wa Kanisa Kiongozi na Msaidizi wa Mchungaji wa Mtaa wa Mbezi Luis Ndugu Ahad .S. Mnkeni akizungumza machache Katika Tamasha la Uimbaji lililofanyika Jumapili ya Tarehe 10/11/2013."


"Ndugu Ahad.S.Mnkeni akiwa anafuatilia kwa umakini yale yaliyokuwa yanajiri katika Tamasha hilo la Uimbaji.Pembeni yake mkono wa kushoto kwake ambapo ni kulia kwako ni Mgeni Rasmi Ndugu Angellar Kairuki Naibu Waziri wa Katiba na Sheria"
Ni Naibu Waziri wa Katiba Na Sheria Mhe Angellar Kairuki Akitoa Hotuba Katika Kanisa La Waadventista Wasabato Mbezi Luis Jijini Dar Es Salaam Katika Tamasha La Uimbaji Na Kuichangia Kwaya Ya Mtaa Wa Mbezi Kwenda Kampala Uganda Kwenye Kongamano la Uimbaji"



Wednesday, 6 November 2013

HABARI KWA KINA ZA HIVI PUNDE

1. Mwenyekiti- Mch. Magulilo John Mwakalonge-.
Ametenda kazi kama mwinjilisti mlei, Mchungaji wa Mtaa (SWTF- SHC). Mkurugenzi wa Uwakili- ETC, Mkurugenzi wa Mawasiliano - Tanzania Union, Mkurugenzi wa Huduma na Katibu wa Chama cha Wachungaji - Tanzania Unioni na kisha akishika nyadhifa hizo hizo katika Divisheni yetu ya ECD. Kabla ya wito huu alikuwa Mkurugenzi wa Vijana, Muziki, na Chaplensia wa ECD.

2. Katibu Mkuu- Mch James Machage-
Ametenda Kazi Kama mchungaji wa mtaa, Mkurugenzi wa Chaplensia wa Tanzania Union, Mwenyekiti wa Mara Konference Kwa miaka karibia 15 na Katibu Mkuu wa Mara Konferensi. Wakati akiitwa Mch Machage alikuwa Katibu Mwenza wa Tanzania Union.

3. Mhazini - Mr Jack Manongi-
Ametenda Kazi Kama Mhasibu Mkuu wa Tanzania Union kisha akijiunga na kitengo cha huduma za Ukaguzi cha general Conference ambako ametenda kazi kama mkaguzi wa hesabu za fedha mpaka wakati wa wito huu.

Tafadhali tuwaombee.

Tarehe 5-6 /12/ 2013 Wajumbe Kutoka makanisa yote ya Unioni Misheni ya Tanzania Kusini watakutana Dar es salaam kuchagua wakurugenzi wa unioni hii.
Tarehe 3-4/12/2013 Wajumbe toka Makanisa yote ya Unioni Konferensi ya Tanzania Kaskazini watakutana Arusha kuchagua Viongozi na Wakurugenzi wa Union hiyo. Tuendelee Kuombea zoezi hilo.

HAO NDIO VIONGOZI WAPYA WA UNION MISHENI YA TANZANIA KUSINI.

Tuesday, 5 November 2013


Monday, 4 November 2013

PATA KUBARIKIWA NA KWAYA YA WAADVENTISTA WASABATO KINONDONI NA WIMBO USEMAO"Nuhu" BARIKIWA SANA.


Monday, 28 October 2013

"BAADHI YA WASIRIKI WA KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO MBEZI LUIS WAKIWA KWENYE UJENZI WA KANISA"


Thursday, 24 October 2013

      "NDIVYO KWAYA YA MSHIKAMANO MEATU YA WAADVENTISTA WASABATO  
        WANAVYOTUBARIKI SIKU YA LEO NA WIMBO USEMAO (Mguso) BARIKIWA"


Tuesday, 22 October 2013

            "Nyote mnakaribishwa kanisa la waadventista Wasabato Mbezi Luis"