Subscribe:

Saturday, 20 August 2016

MAKAMBI MTAA WA MBEZI LUIS NA TEMBONI 2016.
NENO KUU: KUUNGANISHA MOYO NA MUNGU
FUNGU KUU: YOHANA 15:4-5
WIMBO: 146/163

SHULE YA SABATO IKIENDELEA 20/8/2016.

             Mr & Mrs MSIFUNI kutoka kanisa la Waadventista wasabato Temboni

               Mr & Mrs MBWALE  kutoka kanisa la Waadventista wasabato Temboni


                           Mr & Mrs KAMBIRA kutoka kanisa la Waadventista wasabato Temboni

       Kwaya ya waadventista wasabato TEMBONI ikimtukuza Mungu kwa njia ya Uimbaji.

Thursday, 18 August 2016

MAKAMBI MTAA WA MBEZI LUIS NA TEMBONI 2016.
NENO KUU: KUUNGANISHA MOYO NA MUNGU
FUNGU KUU: YOHANA 15:4-5
WIMBO: 146/163


           KWAYA YA MSINGWA IKIMTUKUZA MUNGU KWA NJIA YA UIMBAJI


              MCHUNGAJI JOSEPH SORONGAI AKINENA NA WATU WA MUNGU.


        VIJANA WATAFUTA NJIA WA MALAMBA MAWILI WAKIONESHA PROGRAMU ZAO

         MIRIUM CHIRWA NAYE ALIWEZA KUMTUKUZA MUNGU KWA NJIA YA UIMBAJI.

  KWAYA YA TEMBONI NAO WALIMTUKUZA MUNGU KWA UIMBAJI MAKINI.

Wednesday, 17 August 2016

MAKAMBI MTAA WA MBEZI LUIS NA TEMBONI 2016.
NENO KUU: KUUNGANISHA MOYO NA MUNGU
FUNGU KUU: YOHANA 15:4-5
WIMBO: 146/163

                      Kikundi cha Melody kikimtukuza Mungu kwa njia ya Uimbaji.

                     Mchungaji Sorongai akinena na watu wa Mungu.

                        Kwaya ya Msingwa ikifanya huduma ya Uimbaji katika Makambi.

           Kwaya ya Kwembe Ikimtukuza Mungu kwa njia ya Uimbaji

                         Mchungaji Mbwambo akizungumza na Vijana katika Makambi.
                          Vijana wakisikiliza mafundisho makuu katika Makambi.

                        Mkuu wa Makambi Dr Chacha Matoka katika Ubora wake

Monday, 15 August 2016

MAKAMBI MTAA WA MBEZI LUIS NA TEMBONI 2016.
NENO KUU: KUUNGANISHA MOYO NA MUNGU
FUNGU KUU: YOHANA 15:4-5
WIMBO: 146/163

     
                   Mch SORONGAI akizungumza na watu wa Mungu kwenye Makambi


              Wanakwaya wa TEMBONI wakifanya huduma ya Uimbaji katika Makambi.


              Wanakwaya wa UVUVIO wakifanya huduma ya Uimbaji katika Makambi.

Sunday, 12 June 2016

MKUTANO WA TAiN-DODOMA WAISHA KWA NAMNA YAKE:

Ule Mkutano wa wana mawasiliano katika makanisa ya waadventista wasabatoTanzania ulihitimishwa jana katika kanisa la waadventista wasabato Dodoma kati.
Mkutano huu ambao ulikuwa na lengo kubwa la kuweza kukuza Injili ya Yesu kwa UBUNIFU ZAIDI kwa njia ya MAWASILIANO.
Mungu azidi kututangulia pale ambapo mimi na wewe tumedhamiria kuifanya kazi ya Mungu kwa kutumia mitandao ya kijamii yaani "FACEBOOK, WHATSAPP, nakadhalika.

 Mr. Mark Imori ambaye ni karani wa kanisa la Dodoma kati Aibuka kuwa amshidi kwa Tanzania nzima kwa kuingiza majina ya washiriki wote Wa kanisa la Dodoma kati katika Mfumo wa ACMS.
Pembeni yake ni Mke wake.


Saturday, 11 June 2016

IBADA YA LEO ILIVYOFANA:

SOMO:NJIA YA KUUFIKIA UKUU "UNYENYEKEVU"
MNENAJI: MCH PRINCE BAHATI.

                                    Kwaya ya UJASIRI wakitubariki kwa wimbo.


 NJIA SABA ZA UNYENYEKEVU:

1.Ulimwengu huu sio wa kwako.
2.Huna uwezo wa kuwa kila mahali katika ulimwengu huu.
3.Huna uwezo usio na Ukomo.."Kisa cha Naamani "2 Wafalme 5:11"
4.Haujui kila kitu ,Yeyote anaweza kuchukua nafasi yako.
5.Wewe unapita na unapotea,Wewe sio wa milele "Zaburi 90:9".
6.Kuwa Mnyenyekevu usijisifie kila mara "Zaburi 146:1"
7.Wewe ni Mdhambi uliyeokolewa na Neema ya Mungu "2 Wakorintho 12:9"



ULE MJADALA WA KUJIFUNZA BIBLIA ULIFANIKIWA KUFANYIKA KWA NAMNA HII:

Katika Sabato ya leo ndani ya Kanisa la Waadventista Wa Sabato Dodoma kati kumefanyika mjadala wa lesson na kumejadiliwa mambo mbalimbali yakiwemo kumuinua Kristo katika kipindi hiki cha siku za mwisho.Fungu la kukariri likitoka kitabu cha:

Mathayo 23:12  "Na ye yote atakayejikweza, atadhiliwa; na ye yote atakayejidhili, atakwezwa."