Subscribe:

Thursday, 10 September 2015

MKUTANO WA KUCHAGUA VIONGOZI WA KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO UNION
KONFERENSI YA KUSINI MWA TANZANIA.UMEFANYIKA ARUSHA.
 
 
Konferensi ya Kaskazini mwa Tanzania, unaoendelea jijini Arusha kwenye kanisa la Waadventista wa Sabato Arusha Kati, leo hii tarehe 09/09/2015, viongozi wafuatao wamechaguliwa kuongoza Union hiyo kwa miaka mitano ijayo (2015 - 2020)
 
 1. Mwenyekiti: Pr/Dr Godwin Gabriel Lekundayo 
 2. Katibu: David Makoye 
 3. Mhazini: Dickson Matiko   
 
 
WAKURUGENZI:
4. Uwakili: Jeremiah Izungo
5. Vijana, Chaplensia, na Muziki: Elias Kasika
6. Elimu: Mashauri Mjema
7. Huduma ya Uchapishaji: Davis Fue
8. Huduma ya Afya: Silas Kabhele
9. Mawasiliano: Gideon Msambwa
10. Huduma za kichungaji, Adventist Mission, na Huduma ya Familia: Enock Sando
11. Shule ya Sabato na Huduma Binafsi: George Ojwang
12. Huduma za Wanawake na Watoto: Mariam Samo
Mungu awapatie Nguvu katika kuifanya kazi yake.
 
 
 








 
MKUTANO MKUU WA UCHAGUZI WA KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO

Make $35 per hour : http://bit.ly/elance_web
MKUTANO MKUU WA UCHAGUZI WA KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO

Make $35 per hour : http://bit.ly/elance_web