Ni katika kanisa la waadventista wasabato Arusha Mjini kati.Ndipo ambapo tumekusanyika hapa kwa ajili ya Mkutano wa TANZANIA ADVENTIST INTERNET NETWORK (TAIN).
Mafundi mitambo wakiweka mambo sawa tayari kwa kuanza Mkutano wetu.
Pr/Dr. Godwin Lekundayo president wa NTUC akiendesha somo la asubuhi ya leo
Mtangazaji Maduhu akipewa Tuzo ya TAIN katika kuiwakilisha tasnia ya ICT.
Mtangazaji Maduhu akizungumza jambo fulani katika Mkutano wa TAIN.
Mr Haggai Abuto akiwa anapokea Tuzo ya TAIN
Hao ni wanakamati kutoka South East Conference (SEC)
Mchungaji MUSSA MIKA akipokea Tuzo ya TAIN kwa kuutambua mchango wake.
Hao ndio wanatimu wote wa TAIN hapo ni baada ya kumaliza Mkutano.