MR.MATHIAS MAVANZA MHAZINI WA TANZANIA ADVENTIST MEDIA CENTER SIKU YA SABATO YA TAREHE 11 OCTOBA,2014 KANISANI MWENGE SDA AMEELEZA HATUA NA MCHAKATO WA UFANIKISHAJI WA KURUSHWA KWA MATANGAZO YA MSTV NA AKITO MSISITO KWA WAJUMBE KUCHUKUA KADI MAALUM ZA KUCHANGIA KWA MPANGO AMBAPO MDAU HUYU ATAPA TAARIFA NA HABARI TOKA MSTV NA ATAKUWA AMESAIDIA UINJILISTI KUFIKIA WATU WENGI KWA NJIA YA RUNINGA HII.
Tangu kuanza kwa mradi mzima wa runinga ya Morning Star Televisheni ambayo ilikuwa ametengewa kiasi cha milioni 500 gharama ambayo ingejumuisha yafuatayo;
Matengenezo ya Studio ya televisheni
Ununuzi wa vifaa na mitambo.
Malipo ya lesseni ya kurushia matangazo kutoka kwa mamlaka ya serikali.
Uendeshaji wa televisheni kwa miezi 6,hii ni pamoja na kulipia gharama ya kurusha matangazo kupitia kwa wenye ving'amuzi.
Kununua vifaa vinavyohitajika kwa ajili ya kurekodi vipindi na kurusha matangazo hewani ambavyo ni vya kisasa tena vinavyokwenda na wakati.
Kutengeza studio ya kisasa ambayo itatumika kwa ajili ya kutayarishia vipindi mbalimbali.
Baada ya kupata vifaa na kupata studio,matangazo ni lazima yarushwe hewani,na yafuatayo ni mahitaji kwa ajili ya kurushwa matangazo kwa miezi mingine 6.
Btl(urushwaji wa matangazo | |
AGAPE FEES(urushaji wa matangazo) | |
TCRA FEES(malipo kwa serikali) | |
Agape deposit(kama dhamana ya mkataba) | |
(vifaa vya matangazo) | |
(gari kwa ajili ya uzalishaji). | |